Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

1. Maisha hayan Formula
2. Maisha ni kama gwaride, wa mwisho anaweza kuwa wa kwanza na kinyume chake, muda wowote ule
3. Hakuna short cut kwenye maisha
Short cut zipo sana usitegemee uwe kibarua ujenzi au mbeba zege afanye Nazi za zege miaka na miaka eti utakuja kutoboa.
 
Kitu kikubwa nimekijua ukubwani nikuwa msiri wa changamoto zangu ni rahisi zaidi mtu kukusaidia kama hajui upo kwenye hali gani ukiyamwaga kila mtu atakukwepa unaonekana ni mzigo tujifunze kuvumilia situation zetu especially mambo ya kifedha sio kidgo tu unapgia sim watu nakujieleza kwingi jipambanie kivyovyote yaani ni kuforce king kweli kweli
 
"Kadri Umri unavyoenda ndio nagundua kwa nini baba alikua hataki kufungulia redio kwa sauti kubwa, jamani KELELE na MADENI haviendani kabisa😀😀"




Kwa kweli nina mziki mkubwa lakini kuna muda najikuta tu sitaki kelele.🙌😂😂😂
 
: Hakuna atakayekuja kubeba majukumu yako mwanzo niliamini watu wa karibu watakusaidia kumbe ilikuwa ni kwa sababu bado nipo chini ya uangalizi wa wazazi(Yani ukipata changamoto wao huibeba) , ukikua hakuna mtu atabeba shida zako (zikabili mwenyewe) rafiki na ndugu watasaidia ila wanakiwango Cha Kikomo Kuna muda wataacha. Ila mtoa Uzi namba 7 umeniacha bana
Kweli kabisa mkuu,hata mm nilidhanu katka maisha watu wakaribu watakusaidia nakubeba changamoto zako kama zao kumbe nikinyume kabisa.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Nilikua nashangaa sana mshua akiamka saa 11, siku moja akanambia "itafika kipindi matatizo yako yatakuamsha". Sasa nayaona
Nawaonea Sana huruma Sana vijana wanaingia kwenye mapenzi kazi hawana na demu anataka pesa anaanza kuuza vitu vya ndani kumrizisha demu maisha ni vitu ukipambana mungu atakuonyesha njia
 
Back
Top Bottom