Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

Use people as u can do not trust anybody
Hey! Don't use people, instead use money. People have to be loved, not to be used. If you love money you will use people, and if you love people you will use money. The difference between loving people and using money is significant. And a lot of people make this mistake of using people instead of using money.
 
I loved with all my heart but they hurt me a lot so now I will do as they did and I will never stop
 
Nmejifunza maisha ni kitabu chenye kurasa zisizokua na idadi na kila kurasa ya siku ina stori tofauti.
Maumivu, uponyaji, majuto, mapenzi, udanganyifu, wokovu, sintofahamu, kukata tamaa asubui na jion tumain kurejea na kifo
 
Kama ukiwa na mwonekano mzuri ila ukawa na fikra mbovu basi utaumiza mwili kutafuta kipato. Ukiwa na fikra njema hata uwe na mwonekano mbovu basi utatumia akili kula mema
 
1.Nimejifunza mafanikio ya kifedha katika maisha ni 95% bahati & 5 ni jitihada binafsi.ili update hiyo bahati ya kufanikiwa ni lazima Ku take risk no matter what!
2.Tunaishi kijamii plus kiimani kutokana na misingi iliyoweka but yote ni nadharia.
3.Katika huu ulimwengu chochote unachokifahamu ni sawa na tone LA maji kwenye bahari-ulimwengu una siri nyingi sana.
4. Kutokana na kifo nimeona maisha hayana maana kabisa either ni tajiri au masikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ