Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

1. Maisha hayan Formula
2. Maisha ni kama gwaride, wa mwisho anaweza kuwa wa kwanza na kinyume chake, muda wowote ule
3. Hakuna short cut kwenye maisha
Short cut zipo sana usitegemee uwe kibarua ujenzi au mbeba zege afanye Nazi za zege miaka na miaka eti utakuja kutoboa.
 
Kitu kikubwa nimekijua ukubwani nikuwa msiri wa changamoto zangu ni rahisi zaidi mtu kukusaidia kama hajui upo kwenye hali gani ukiyamwaga kila mtu atakukwepa unaonekana ni mzigo tujifunze kuvumilia situation zetu especially mambo ya kifedha sio kidgo tu unapgia sim watu nakujieleza kwingi jipambanie kivyovyote yaani ni kuforce king kweli kweli
 
"Kadri Umri unavyoenda ndio nagundua kwa nini baba alikua hataki kufungulia redio kwa sauti kubwa, jamani KELELE na MADENI haviendani kabisaπŸ˜€πŸ˜€"




Kwa kweli nina mziki mkubwa lakini kuna muda najikuta tu sitaki kelele.πŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kweli kabisa mkuu,hata mm nilidhanu katka maisha watu wakaribu watakusaidia nakubeba changamoto zako kama zao kumbe nikinyume kabisa.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Nilikua nashangaa sana mshua akiamka saa 11, siku moja akanambia "itafika kipindi matatizo yako yatakuamsha". Sasa nayaona
Nawaonea Sana huruma Sana vijana wanaingia kwenye mapenzi kazi hawana na demu anataka pesa anaanza kuuza vitu vya ndani kumrizisha demu maisha ni vitu ukipambana mungu atakuonyesha njia
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…