Pre GE2025 Mpaka sasa unaipa CHADEMA alama ngapi kisiasa kutokana na yanayoendelea?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
umesikitishwa na umekatishwa tamaa kwa kiwango gani kwa hadithi, maelezo, simulizi na malalamiko yasiyo na mashiko ya viongozi waandamizi wa chadema?

Je, uamuzi wa kuishitaki serikali mahakamani kisiasa, una faida au hasara kwa Chadema? au ni kupoteza muda, rasilimali na kukosa hoja, mipango, maono na uelekeo wa kisiasa?

serikali za wanadamu zimetoka kwa Mungu,

Mungu Ibariki Tanzania, chini ya Rais madhubuti sana Dr.Samia Suluhu Hassan

PIA SOMA

- Kuelekea 2025 - CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA
 
umekatishwa tamaa kwa kiwango gani kwa hadithi, maelezo na malalamiko yasiyo na mashiko ya viongozi waandamizi wa chadema?

Je,
uamuzi wa kuishitaki serikali kisiasa, una faida au hasara kwa Chadema? au ni kupoteza muda, rasilimali na kukosa hoja, mipango, maono na uelekeo wa kisiasa?

serikali za wanadamu zimetoka kwa Mungu,
Mungu Ibariki Tanzania, chini ya Rais madhubuti Dr.Samia Suluhu Hassan :NoGodNo:
Dogo unaipemda cdm sema uko unafuta maokoto tu
 
Uchawa utakupeleka kaburini, ungali kijana mdogo, kusifia wezi, mafisadi...malipo ya dhambi ni maut
 
Uzi wako wa tano leo kuhusu chadema..!
 
Attachments

  • IMG_20240404_122706.jpg
    IMG_20240404_122706.jpg
    123.8 KB · Views: 1
umesikitishwa na umekatishwa tamaa kwa kiwango gani kwa hadithi, maelezo, simulizi na malalamiko yasiyo na mashiko ya viongozi waandamizi wa chadema?

Je,
uamuzi wa kuishitaki serikali mahakamani kisiasa, una faida au hasara kwa Chadema? au ni kupoteza muda, rasilimali na kukosa hoja, mipango, maono na uelekeo wa kisiasa?

serikali za wanadamu zimetoka kwa Mungu,
Mungu Ibariki Tanzania, chini ya Rais madhubuti sana Dr.Samia Suluhu Hassan :NoGodNo:
Mtaanzisha threads hata milioni. Bora mngewaachia tu wafanye kongamano lao...sasa hivi tungekuwa tumeshaanza kulisahau....miichofanya mmewapa promotion kubwa sana.
 
Neno ‘irate’ limeleta maana nyingine kwenye kichwa cha habari.

umesikitishwa na umekatishwa tamaa kwa kiwango gani kwa hadithi, maelezo, simulizi na malalamiko yasiyo na mashiko ya viongozi waandamizi wa chadema?

Je,
uamuzi wa kuishitaki serikali mahakamani kisiasa, una faida au hasara kwa Chadema? au ni kupoteza muda, rasilimali na kukosa hoja, mipango, maono na uelekeo wa kisiasa?

serikali za wanadamu zimetoka kwa Mungu,
Mungu Ibariki Tanzania, chini ya Rais madhubuti sana Dr.Samia Suluhu Hassan :NoGodNo:
Kwa viwango vya nyota ***** au nyota tano nimechukuwa mfano wa zile makazi za kifahari zinazotambulika kwa viwango vya kimataifa.Wale wanao waonea wivu na kuwahujumu nawapa *** nyota tatu tena kwa kuwapendelea ili angalao waache upuuzi ili wakue.Kufikia viwango vya washindani wao Chadema.
 
umesikitishwa na umekatishwa tamaa kwa kiwango gani kwa hadithi, maelezo, simulizi na malalamiko yasiyo na mashiko ya viongozi waandamizi wa chadema?

Je,
uamuzi wa kuishitaki serikali mahakamani kisiasa, una faida au hasara kwa Chadema? au ni kupoteza muda, rasilimali na kukosa hoja, mipango, maono na uelekeo wa kisiasa?

serikali za wanadamu zimetoka kwa Mungu,
Mungu Ibariki Tanzania, chini ya Rais madhubuti sana Dr.Samia Suluhu Hassan :NoGodNo:

Chama kilichoshika hatamu muda wake wote wa uhai wa Tanganyika na Tanzania, ajabu kinapambana na chama ambacho hakijawahi hata kuwa na waziri...
 
Mtaanzisha threads hata milioni. Bora mngewaachia tu wafanye kongamano lao...sasa hivi tungekuwa tumeshaanza kulisahau....miichofanya mmewapa promotion kubwa sana.
uwaache akina nani hao?

wafanye uhalifu? rwanda walipuuza1994, kenya wakapuuza2007 unafahamu nni kilitokea huko nadhani,

ni ngumu sana kwa vissionary goverments kupuuza kauli au vihatarishi vya kihalifu na kusubiri athari kwanza kama zilizowakumba nchi nilizotaja, ndicho unachomaanisha na kupendelea, right? :BASED:
 
Sema hivii vision less /less vissionary kupuuuza vissionary ni kawaaiida saana.
 
Chama kilichoshika hatamu muda wake wote wa uhai wa Tanganyika na Tanzania, ajabu kinapambana na chama ambacho hakijawahi hata kuwa na waziri...
no,
ni jeshi imara la polisi ndio linapambana na magenge ya kihalifu yaliyojificha nyuma ya vyama vya siasa na mikutano ya kisiasa:BASED:
 
umesikitishwa na umekatishwa tamaa kwa kiwango gani kwa hadithi, maelezo, simulizi na malalamiko yasiyo na mashiko ya viongozi waandamizi wa chadema?

Je,
uamuzi wa kuishitaki serikali mahakamani kisiasa, una faida au hasara kwa Chadema? au ni kupoteza muda, rasilimali na kukosa hoja, mipango, maono na uelekeo wa kisiasa?

serikali za wanadamu zimetoka kwa Mungu,
Mungu Ibariki Tanzania, chini ya Rais madhubuti sana Dr.Samia Suluhu Hassan :NoGodNo:
Wewe umeajiriwa na Abduli sio?
 
Nchi haiwezi endelea chini ya Rais goigoi na kilaza.
 
Back
Top Bottom