Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #81
actually,Kuchukua hatua sio vibaya ila kuwapiga sio sahihi hata mbele ya sheria. Wangewaweka mahabusu na kuwapeleka mahakamani. Polisi watumie weledi kwenye kufanya kazi zao.
wakaidi amri na ilani za vyombo vya ulinzi na usalama ni sharti kua neutralize ili kudhibiti hali ya usalama katika eneo mahususi...
katika hiyo purukushani sasa,
ndipo unakuta baadhi ya wakaidi wengine kumbe ni wabishi tu kiasili, lakin ni dhaifu sana kiafya wana maradhi mabaya ambayo akiguswa tu kunahatatisha maisha yake...
ni vizuri hata kama sio muhalifu, kutii bila shuruti maonyo, makatazo na ilani za kiusalama zinazotolewa na vyombo vya ulinzi na usalama maeneo husika, kuliko kuendekeza kiburi na ukaidi utakaolazimisha walinda usalama kukunutralize bila kujali hali ya ndani ya afya yako....
ni vizuri ikaeleweka hivyo ndrugo zango,
lakini pia kwa niaba ya walinda usalama wote nchini, naomba radhi kwa dosari na kasoro ndogo ndogo za kibinadamu zilizojitokeza wakati wa kuchukua hatua katika sakata la mbeya na maeneo mengine nchini...
hatua za makusudi za kisheria zitaendelea kuzingatiwa katika kudhibiti matukio yote ya kihalifu nchini...