Pre GE2025 Mpaka sasa unaipa CHADEMA alama ngapi kisiasa kutokana na yanayoendelea?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa viwango vya nyota ***** au nyota tano nimechukuwa mfano wa zile makazi za kifahari zinazotambulika kwa viwango vya kimataifa.Wale wanao waonea wivu na kuwahujumu nawapa *** nyota tatu tena kwa kuwapendelea ili angalao waache upuuzi ili wakue.Kufikia viwango vya washindani wao Chadema.
chedema ni miongoni mwa vyama vya upinzani nchini chenye kiwango cha chini sana kwenye ujengaji hoja, ni wabishi na wenye kiwango cha juu sana cha mihemko,:pedroP:

kweli si kweli?
 
Tanzania hatuna upinzani. Ukishajua hilo, disapointments zinaisha kabisa na vyama kama chadomo.
 
umesikitishwa na umekatishwa tamaa kwa kiwango gani kwa hadithi, maelezo, simulizi na malalamiko yasiyo na mashiko ya viongozi waandamizi wa chadema?

Je,
uamuzi wa kuishitaki serikali mahakamani kisiasa, una faida au hasara kwa Chadema? au ni kupoteza muda, rasilimali na kukosa hoja, mipango, maono na uelekeo wa kisiasa?

serikali za wanadamu zimetoka kwa Mungu,
Mungu Ibariki Tanzania, chini ya Rais madhubuti sana Dr.Samia Suluhu Hassan :NoGodNo:
Mungu hataniwi kuna mtu alikuwa na manguvu kama magufuli, sembuse huyu anayeogopa mpaka mende?
 
no,
ni jeshi imara la polisi ndio linapambana na magenge ya kihalifu yaliyojificha nyuma ya vyama vya siasa na mikutano ya kisiasa:BASED:

Hao polisi mbona hawakudeal na wale viongozi waliokuwa wanapanga mipango yao nyuma ya mgongo wa Rais hadi sauti zao kuvuja...

Kuna utofauti gani wa tuhuma za wale viongozi na hizi unazozitaja za Chadema?
 
jeshi la kisasa na imara sana la police Tanzania halideal na sauti za kuvuja za watu, linadeal na viashiria halisi vya uhalifu na uhalifu wenyewe 🐒
 
Neno ‘irate’ limeleta maana nyingine kwenye kichwa cha habari.

shukrani kwa kuibua utata ambao ungeleta changamoto ya maana gentleman 🙏

thank you very much moderators on duty kwa marekebisho mujarabu sana kwenye heading ya bandiko langu 👊💪
 
umesikitishwa na umekatishwa tamaa kwa kiwango gani kwa hadithi, maelezo, simulizi na malalamiko yasiyo na mashiko ya viongozi waandamizi wa chadema?

Je, uamuzi wa kuishitaki serikali mahakamani kisiasa, una faida au hasara kwa Chadema? au ni kupoteza muda, rasilimali na kukosa hoja, mipango, maono na uelekeo wa kisiasa?

serikali za wanadamu zimetoka kwa Mungu,

Mungu Ibariki Tanzania, chini ya Rais madhubuti sana Dr.Samia Suluhu Hassan

PIA SOMA

- Kuelekea 2025 - CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA
Unahangaika sana.

Huu ni mwanzo tu, utazidi kuhangaika sana humu na hakuna atakaye kuona wewe kuwa mtu kama binaadam wengine tena. Umekwisha jipambanua kuwa wewe ni shetani mwenyewe.
 
utanifuata sana na kwakweli utajifunza na kuelewa mambo mengi sana mazuri,

na mihemko na kuporomosha matusi itakwisha kabisa, sawa? usichoke kunitafuta 🐒
 
Uko sahihi kabisa juu ya kukufuata, na sasa kazi yangu imekuwa rahisi zaidi kwa kujua kuwa najishughulisha na shetani mwenyewe.
 
of course najishighulisha na kusema ukweli na kushauri wenye mihemko na waporomosha matusi kubadilika na kua wangwana wasio panic bila sababu za maana 🐒
 
Shetani hata siku moja hatendi mema; hilo liko wazi.
Kila mahali anapoonekana shetani ni lazima apondwe mawe. Nawe kama shetani wengineo mwisho wako hautakuwa tofauti.
 
naf

nafurahi Neema na Baraka za Mungu zinaambatana na kuandamana nawe vyema, umetulia, huna mihemko, hutukani wala kuporomosha matusi tena,

Mungu aendelee kukubariki sana sana gentleman 👊 💪
 
Shetani hufurahi kwa kunywa damu za watu; kwa hiyo kufurahi kwako hakushangazi.
 
nafahamu na ninaona furaha ya ajabu ndani ya moyo mwako katika ulimwengu wa roho, na unajiuliza nafsini mwako ya kwamba kumbe unaweza kuishi bila mihemko na kujadiliana na wengine bila kutukana wala kuporomosha matusi?

usijiulize sana,
kwa Neema na Baraka za Mungu inawezekana,
Baraka za Mungu zikuimarishe uwe mtu mwema daima, Aimen🙏
 
Kama nilivyo kutambua kungali mapema kwamba wewe ni shetani; sasa nakufahamisha rasmi, mwisho wako siyo mzuri ndani ya nchi hii.
 
daima nakuombea Baraka nafsini mwako, akilini na moyoni mwako pajazwe Baraka tele za Mungu, daima uwaze, useme na kutenda yaliyo mema tu, kwa sifa na utukufu wa Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu....

Pokea muujiza wako kwa utulivu 🐒
 
Mungu hataniwi kuna mtu alikuwa na manguvu kama magufuli, sembuse huyu anayeogopa mpaka mende?
kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa, relax, punguza mihemko na makasiriko 🐒
 
daima nakuombea Baraka nafsini mwako, akilini na moyoni mwako pajazwe Baraka tele za Mungu, daima uwaze, useme na kutenda yaliyo mema tu, kwa sifa na utukufu wa Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu....

Pokea muujiza wako kwa utulivu 🐒
Utalia na kusaga meno, siku hiyo ya kiama.
Matendo yote maovu uliyo wafanyia waTanzania utayakumbuka vizuri kabisa.
 
Mungu wa Neema na Rehema akuzidishie mapendo, imani na matumaini, daima akuaepushe na Roho ya kukata tamaa na visasa,

apande mbegu ya msamaha na sadaka moyoni mwako, sasa, daima na milele,
Amen 🙏
 
Back
Top Bottom