Pre GE2025 Mpaka sasa unaipa CHADEMA alama ngapi kisiasa kutokana na yanayoendelea?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mungu wa Neema na Rehema akuzidishie mapendo, imani na matumaini, daima akuaepushe na Roho ya kukata tamaa na visasa,

apande mbegu ya msamaha na sadaka moyoni mwako, sasa, daima na milele,
Amen 🙏
Ni shetani pekee, katika kiwiliwili cha binaadam kama wewe anaye weza kuwadanganya watoto na mke kwamba anayo kazi inayompa pato kila siku, kumbe kazi yenyewe ni kwenda kuvuruga utulivu wa waTanzania. Kutwa nzima, kila siku, unaaga unakwenda kazini,...kazi ya kwenda kuangamiza watu!
 
Kama jambo hulijui, si kwanza jielimishe na ndipo uandike? Wapi Chadema imesema inaishitaki serikali (ingawa hata serikali inaweza kushtakiwa mahakamani)? Ila kwa suala la Chadema kwa yale yaliyosemwa leo na viongozi wa Chadema, hebu dondoa maneno waliyosema "wataishtaki serikali."
 
ufunikwe na damu takatifu ya Yesu Kristo alie hai katika, ñjozi na usingizi wako wa leo. Malaika walinzi wa Bwana ndani yako wakujalie utulivu na usingizi wa amani,
Mungu akulinde usiku huu na akuamshe salama kesho asubuhi..

kwa Jina la Baba Mwana na roho Mtakatifu🙏
 
Shetani yule yule, ambaye haoni shida kuwadanganya famili juu ya ushetani wake, ni huyo huyo ambaye anawa hadaa siyo familia pekee bali hata waumini wenzake kwenye nyumba ya ibada, kuficha ushetani wake kwa watu, akidhani mungu wake naye anahadaiwa!
 
100/100
 
EEEeeenHEEEEeeeee!
Nikujulishe jambo jingine nililo tambua mapema sasa juu yako.
Hiyo dini unakufuru tu, siyo dini yako. Hili nililitambua toka mwanzo kabisa katika kudadisi ushetani wako.

Sasa sijui kama haya ndiyo yatakupa thawabu kwa huyo mungu wako unaye mtanguliza mbele huku ukiwa shetani mkuu.
 
Asanti Mungu kwa kunilinda mimi na wangwana wote humu JF,

Asanti kwa ulinzi wako usiku na kutuamsha salama asubuhi hii ya leo, nakushukuru kwa niaba ya wangwana wote humu JF kwa zawadi ya uhai na afya unazotujalia bure siku zote,

Mungu Mwenyezi nakuomba, Baraka na Neema zako ziambatane na kuandamana nasi sote katika kazi na majukumu yetu ya leo, kadiri ya mapenzi yako, sasa na hata milele Amina 🙏

uwe na asubuhi ya Baraka gentleman 🐒
 
Kwa ushenzi uliofanywa na polisi:

CHADENA wamepata above expectation (tunawapa 100%)

CCM kwa kuwatumia polisi wamepata below expectation (tunawapa 20%).

Samia ameperform below extreme failure (tunampa 12%).
 
Kwa ushenzi uliofanywa na polisi:

CHADENA wamepata above expectation (tunawapa 100%)

CCM kwa kuwatumia polisi wamepata below expectation (tunawapa 20%).

Samia ameperform below extreme failure (tunampa 12%).
expectations za kuhurumiwa na wananchi zilikua ngap na imepatikana ngap gentleman?🐒
 
Wenzako wengi tu walijiapiza kupambana na Chadema wewe ni nani mpaka ufanikiwe ? Yani wewe ni wakawaida sana kama jina lako hangaika na Mambo Yako sio hiki chama utapotea
 
Kufungua kesi ni muhimu ingawa hata hao CDM wanajua matokeo ya hiyo kesi itakuaje. Kwasababu hata hao majaji na mahakimu wanawategemea Mapolisi hao hao wawalinde
 
chedema ni miongoni mwa vyama vya upinzani nchini chenye kiwango cha chini sana kwenye ujengaji hoja, ni wabishi na wenye kiwango cha juu sana cha mihemko,

kweli si kweli?
Ok ni chama gani cha siasa kwa upande wako chenye kiwango kikubwa cha kujenga hoja kwa sasa hapa nchini kwetu kinacho izidi CDM?
 
Alama 95% ya ushindi serikali za mitaa na uchaguzi mkuu,5 zinabaki zile za kuporwa fomu na sarakasi za wasimamizi na sarakasi za tume na mwesabu kura atakaye omba msamaha kwa Mungu baada ya kufanya wizi wa kura.
 
chedema ni miongoni mwa vyama vya upinzani nchini chenye kiwango cha chini sana kwenye ujengaji hoja, ni wabishi na wenye kiwango cha juu sana cha mihemko,

kweli si kweli?
Mbeleko lenu bovu linaviwango vya chini mithili ya chawa kunguni
 
Kuwa huru hakuna maana unaweza kumtukana kiongozi wako. Huwezi kumtukana mwenye nyumba, huwezi kumtukana boss wako anayekulipa mshahara japo unamfanyia kazi. Chadema wafanye siasa sio kutafuta kick wapigwe, wawekwe ndani ndio wapate trend bila hizi kick hawapati coverage. Wako busy kutafuta kura za huruma.
 
Sasa mtu akikutukana unapiga. Sasa nani atakuwa mwenye haki. Mtu akikutukana mpeleke mahakamani. Kwasababu mtu akikuambiwa wew ni mpumbavu au mwizi linakuwa tusi kama kweli wewe siyo mpumbavu au mwizi lakini ukiteact ata wale walio kuwa wanadhani kuwa wewe siyo mpumbavu au mwizi wanakutilia mashaka.
 
U
Umeuliza swali ujibiwe au? Na kama una majibu unauliza swali la nn si uandike jibu ili watu wajadili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…