GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
saa100 mi5 tena,mama hana bayaNinayoyajua Mimi mpaka sasa japo nasikia yapo kama 25 hivi ni haya yafuatayo.....
1.Mama Ongea na Mwanao
2. Samia Squad
3. Mama tutakutetea hadi Umauti
4. Mama Samia Tunakupenda
Haya nanyi endeleeni na mengineyo ila mnisaidie tu kuniambia ni wapi Fedha za Kuwalipa hawa Chawa zinatolewa?
WAFUPI WA MAMA.Ninayoyajua Mimi mpaka sasa japo nasikia yapo kama 25 hivi ni haya yafuatayo.....
1.Mama Ongea na Mwanao
2. Samia Squad
3. Mama tutakutetea hadi Umauti
4. Mama Samia Tunakupenda
Haya nanyi endeleeni na mengineyo ila mnisaidie tu kuniambia ni wapi Fedha za Kuwalipa hawa Chawa zinatolewa?
Wajukuu wa mamaNinayoyajua Mimi mpaka sasa japo nasikia yapo kama 25 hivi ni haya yafuatayo.....
1.Mama Ongea na Mwanao
2. Samia Squad
3. Mama tutakutetea hadi Umauti
4. Mama Samia Tunakupenda
Haya nanyi endeleeni na mengineyo ila mnisaidie tu kuniambia ni wapi Fedha za Kuwalipa hawa Chawa zinatolewa?
Mimi nalijua la Lukas mwashambwa la kububujikwa na machozi!Ninayoyajua Mimi mpaka sasa japo nasikia yapo kama 25 hivi ni haya yafuatayo.....
1.Mama Ongea na Mwanao
2. Samia Squad
3. Mama tutakutetea hadi Umauti
4. Mama Samia Tunakupenda
Haya nanyi endeleeni na mengineyo ila mnisaidie tu kuniambia ni wapi Fedha za Kuwalipa hawa Chawa zinatolewa?
Mshahara wa mamaNinayoyajua Mimi mpaka sasa japo nasikia yapo kama 25 hivi ni haya yafuatayo.....
1.Mama Ongea na Mwanao
2. Samia Squad
3. Mama tutakutetea hadi Umauti
4. Mama Samia Tunakupenda
Haya nanyi endeleeni na mengineyo ila mnisaidie tu kuniambia ni wapi Fedha za Kuwalipa hawa Chawa zinatolewa?
Wapo kina AY MADEE n.k SAMIA KING'S..mafala sanaSamia King
Wajukuu wa Samia
Wafupi wa Samia
Knock out ya mama (bango lipo magomeni )
...Goli la Mama ! [emoji1]Wapo kina AY MADEE n.k SAMIA KING'S..mafala sana
Ili ilikuwa Knockout?😀😀Samia King
Wajukuu wa Samia
Wafupi wa Samia
Knock out ya mama (bango lipo magomeni )
kiongozi una wasiwasi ela ya kodi hazitoshi au?ni wapi Fedha za Kuwalipa hawa Chawa zinatolewa?
Braza kwani huwezi kucomment bila kuleta dharau kwa Viongozi?Jingine ni viluwiluwi wa mama yetu chura kiziwi