Ssh25 30 kwa pulet namba za mandinga .upuuzi wa viwango vya juuNinayoyajua Mimi mpaka sasa japo nasikia yapo kama 25 hivi ni haya yafuatayo.....
1.Mama Ongea na Mwanao
2. Samia Squad
3. Mama tutakutetea hadi Umauti
4. Mama Samia Tunakupenda
Haya nanyi endeleeni na mengineyo ila mnisaidie tu kuniambia ni wapi Fedha za Kuwalipa hawa Chawa zinatolewa?
Mana Hana DeniSamia Kings
Goli la Mama
Cheka na Mama
Samia for Us
Samia Youth Movement
Samia na Maendeleo
Samia Digital Team
Mama Ongea na Mwanao
Tumtambue Mama
Mama Anatuongoza
Mama Yupo Kazini
Samia Ni Jibu
Kazi Inaendelea
Mama Ametimiza
Samia Tena 2025
Watu Wafupi wa Samia
Samia Challenge