Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiitoe maana Season 2 walikosa story wakatudanganya. Bora FAUDA itoke maana ilionesha uhalisia wa kinachoendelea sasa hapo Gaza na IsraelTEHRAN season 3 inatoka lini aisee?
Ina maana hadi leo USA hajapata sababu ya kumpiga Iran!?Na akijichanganya kujiingiza vitani Israel na Marekani watafurahi sana, maana wanataka sababu tu
Unataka ushahidi gani wakati Iran ndio msambaza silaha na mtoa mafunzo kwa wana mgambo hao? ukweli ni kwamba ukiipigia Iran maumivu atakayo kupa huwezi kusahau ndio maana hawawezi kuivamia Iran hata kama wale seneta wanatakaUshahidi ukipatikana kwamba Iran kafanya yeye mbona huyo kubwa la magaidi ya dini yenu atafutwa kwenye ramani ya dunia.
Kinachotendeka sasa hivi ni kupiga chochote chenye maslahi ya Iran huko nje maana Iran ilishasema maslahi yake yakiguswa huko nje itafanya kitu, sasa inatafutwa ifanye kitu ili ushahidi wa Iran kuhusika moja kwa moja upatikane.
Ina shangaza wakati Iran ndio mtoa silaha na mafunzo kwa hivyo vikundiIna maana hadi leo USA hajapata sababu ya kumpiga Iran!?
Unataka ushahidi gani wakati Iran ndio msambaza silaha na mtoa mafunzo kwa wana mgambo hao? ukweli ni kwamba ukiipigia Iran maumivu atakayo kupa huwezi kusahau ndio maana hawawezi kuivamia Iran hata kama wale seneta wanataka
Inajulikana sana.Anayetafutwa hapo in Iran ili wamalize nguvu anazokusanya kwa miaka baada kuisha vita vya Iraqi
Hayo ni mawazo yako na uelewa wako, lakini Iran 🇮🇷 kwa Israel 🇮🇱.Unataka ushahidi gani wakati Iran ndio msambaza silaha na mtoa mafunzo kwa wana mgambo hao? ukweli ni kwamba ukiipigia Iran maumivu atakayo kupa huwezi kusahau ndio maana hawawezi kuivamia Iran hata kama wale seneta wanataka
kwan Washirika wa Iran walipiga ndan ya USA ?Iran ipo dunia gani [emoji23][emoji16][emoji1787]
Israhell ipi ile ya six day war au hii inayopelekewa moto na wajuba yaani wajuba wanawapelekea moto haswa haswaHayo ni mawazo yako na uelewa wako, lakini Iran 🇮🇷 kwa Israel 🇮🇱.
Israel akitaka kumuadabisha, anamuadabisha vizuri tuuuu
Waulize maseneta wa Americant walotaka Biden aishambulie irankwan Washirika wa Iran walipiga ndan ya USA ?
Americant wanaiogopa iran kama kufa yaaniUshahidi ukipatikana kwamba Iran kafanya yeye mbona huyo kubwa la magaidi ya dini yenu atafutwa kwenye ramani ya dunia.
Kinachotendeka sasa hivi ni kupiga chochote chenye maslahi ya Iran huko nje maana Iran ilishasema maslahi yake yakiguswa huko nje itafanya kitu, sasa inatafutwa ifanye kitu ili ushahidi wa Iran kuhusika moja kwa moja upatikane.
😀🤣😂Hayo ni mawazo yako na uelewa wako, lakini Iran 🇮🇷 kwa Israel 🇮🇱.
Israel akitaka kumuadabisha, anamuadabisha vizuri tuuuu
Hawezi mzee acha porojo , Iran anajiweza kweli kweliHayo ni mawazo yako na uelewa wako, lakini Iran 🇮🇷 kwa Israel 🇮🇱.
Israel akitaka kumuadabisha, anamuadabisha vizuri tuuuu
Nakuuliza tena unataka ushahidi gani wakati Iran ndio anagawa silaha na kutoa mafunzo kwa hao wanamgambo ? vitu vingine ni vichekeshoNarudia
Ushahidi ukipatikana kwamba Iran kafanya yeye mbona huyo kubwa la magaidi ya dini yenu atafutwa kwenye ramani ya dunia.
Kinachotendeka sasa hivi ni kupiga chochote chenye maslahi ya Iran huko nje maana Iran ilishasema maslahi yake yakiguswa huko nje itafanya kitu, sasa inatafutwa ifanye kitu ili ushahidi wa Iran kuhusika moja kwa moja upatikane.
Nakuuliza tena unataka ushahidi gani wakati Iran ndio anagawa silaha na kutoa mafunzo kwa hao wanamgambo ? vitu vingine ni vichekesho
Shangaa na wewe! Eti ukiwa sio muislamu unachinjwa kuanzia nyuma ya shingo. Yaani mambo yakipumbavu kupita kiasi. Kwani lazma niwe mwislam! si mniache tu niende motoni. Wala sihitaji kabsa hao bikira 72,subulini nyie mfe mkawapige miti hao dada zenuKama isingekuwa intelijensia ya marekani na izrael ungekuta waarabu wameshababilisha dunia kwa mtutu wa bunduki kufuata Imani Yao kwa nguvu. Dini gani hiyo ya kulazimishwa imekuwa dawa?