Mpaka sasa vifo 40 vimeripotiwa kutokana na mapigo wanayofanya Marekani kwa maslahi ya Iran

Mpaka sasa vifo 40 vimeripotiwa kutokana na mapigo wanayofanya Marekani kwa maslahi ya Iran

Ushahidi ukipatikana kwamba Iran kafanya yeye mbona huyo kubwa la magaidi ya dini yenu atafutwa kwenye ramani ya dunia.
Kinachotendeka sasa hivi ni kupiga chochote chenye maslahi ya Iran huko nje maana Iran ilishasema maslahi yake yakiguswa huko nje itafanya kitu, sasa inatafutwa ifanye kitu ili ushahidi wa Iran kuhusika moja kwa moja upatikane.
Justification ndio inatafutwa kwanza ndio Tuufute ugaidi duniani ...nimekusoma mkuu
 
Kama isingekuwa intelijensia ya marekani na izrael ungekuta waarabu wameshababilisha dunia kwa mtutu wa bunduki kufuata Imani Yao kwa nguvu. Dini gani hiyo ya kulazimishwa imekuwa dawa?

Wewe alikulazimisha nani??
 
Lazima mliwe na maugaidi ya dini yenu....yaani bado hamjasema.

Askari wako ndio hawa wamebandikwa papuchi 😛😛😛😛😛

Transgender service members from SPARTA pose with SPARTA's Sue Fulton, far left, and Secretary of Defense Ash Carter, third from right.

Transgender service members from SPARTA pose with SPARTA's Sue Fulton, far left, and Secretary of Defense Ash Carter, third from right.TransMilitary
 
Narudia
Ushahidi ukipatikana kwamba Iran kafanya yeye mbona huyo kubwa la magaidi ya dini yenu atafutwa kwenye ramani ya dunia.
Kinachotendeka sasa hivi ni kupiga chochote chenye maslahi ya Iran huko nje maana Iran ilishasema maslahi yake yakiguswa huko nje itafanya kitu, sasa inatafutwa ifanye kitu ili ushahidi wa Iran kuhusika moja kwa moja upatikane.

Umekuwa msemaji wa mashoga ??
 
Shangaa na wewe! Eti ukiwa sio muislamu unachinjwa kuanzia nyuma ya shingo. Yaani mambo yakipumbavu kupita kiasi. Kwani lazma niwe mwislam! si mniache tu niende motoni. Wala sihitaji kabsa hao bikira 72,subulini nyie mfe mkawapige miti hao dada zenu
Si ndio ukaja hapa kujamba , si umeshachinjwa na Mchungaji ??
 
Hahaha USA haigopi iran bado iran haijotoa sababu ya kuifanya USA aivamie.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Endelea kuota kijana ubalozi wa marekani mwaka 90s ulishambuliwa dar es Salaam na Nairobi ikashambuliwa sudan
Kama haijatoa sababu haiwezi kutoa tena
Maana hata Russia imeivamia Ukraine ila Americant ameogopa kuivamia Russia
Kwahio kowad Americant sishangai akikutana na wanaume wenye mandevu yao hua anakua mwoga mnoooo
 
United States ni watu wanatafuta ukorofi..hivi Wana wanajeshi 3000 wametapakaa middle east.they use them as bait makusudi ili watangaze vita..urusi walitaka kuweka nyuklia tu Cuba wakalia kama mbweha
Jamii forum bado kuna watu wanatoa coment uharo.. Mku hebu soma upya kama unaweza kujielewa...
 
Ngoja tusubiri Iran itajibuje! Maana juzi iliitunishia misuri US ikisema haitaki vita na US lakini haitaiigopa US!
Masenata wanalazimisha Biden aidhinishe kichapo ndani ya chanzo cha magaidi na wahuni middle east hapo Teheran Biden anasubiria Time nzuri na sababu poa... Maana Nia ipo Tayari Uwezo kama wote bado sababu tu kilichobakia wacha Irani aingizwe kingi.. kula hii kula na hii then unaliwa zote kete
 
Endelea kuota kijana ubalozi wa marekani mwaka 90s ulishambuliwa dar es Salaam na Nairobi ikashambuliwa sudan
Kama haijatoa sababu haiwezi kutoa tena
Maana hata Russia imeivamia Ukraine ila Americant ameogopa kuivamia Russia
Kwahio kowad Americant sishangai akikutana na wanaume wenye mandevu yao hua anakua mwoga mnoooo
Kwahiyo iran ndiyo alilipua au sio?
 
Back
Top Bottom