Mashujaa ambao hawana hata uniform maalum hawana hata viatu wamevaa sandles kama wanaenda kuoga, hao ndio mashujaa ebo ?!! Gari zao pick up Toyota kama anayotumia mama Shirima kuendea shambani, hata gari armored za kivita hawana hao ndio mashujb ?!Hamas ni mashujaa watawatwanga "mayahudi" wakisaidiwa na akina Hizbollah,IS na mashujaa wengine.Tufumbe macho tuwaombee dua njema.
Ndio maana nimekwambia hujui lolote chuki za kidini zimekushika., Emu fuatilia yanayojiri huko Gaza na palestine sio waislamu tu Wazayuni wanawauwa hadi wakiristo kwa mamia.,
Hizo jitihada za kuchinja zimekuja baada ya utawala wa kidhalimu Israel dhidi ya Taifa halali la Palastine, soma kwanza history ya palesine na israel ndio uje hapa
[emoji3]Hao magaidi wa dini yenu nini kiliwatuma kuchokonoa Wayahudi, kawaida Myahudi ukimchokoza atajibu mashambulizi na kuua chochote kilicho maeneo ya pale shambulizi limetokea, hawachagui, wanapasua hadi watoto, mna ujinga mwingi sana muanzishe chokochoko kisha muanze kulia lia.
Mpaka sasa hivi hayo magaidi yameshikilia baadhi ya watu wasiohusiana na huo ugomvi, kuna hadi Watanganyika humo huku mkiendelea kushabikia na mikanzu yenu.
Wazungu kuwa converted unaona ajabu? hata magaidi,freemason na uovu mwingine wapo.Kuona wazungu kubadili dini ni ajabu ni ishara kuwa hamjiamini.Time is the best answer and allah is the best planner hata huyu mzungu alikuwa na fikra kama zako kijana
Kwanini asiwepo Frank riberry ni muarabu mbona ana jina la kizungu na ni muislamu?Huna unachojua zaidi ya mafundisho ya mburahati kuna muarabu anaitwa van klarèven ? Embu acha kujizima data
Kwanini asiwepo Frank riberry ni muarabu mbona ana jina la kizungu na ni muislamu?
Sio tu mzungu kuconvert ila kiongozi alyeupinga uislamu na kucovert baada ya kuresearch kuhusu uislamu ndio maana international media zimereport ,Wazungu kuwa converted unaona ajabu? hata magaidi,freemason na uovu mwingine wapo.Kuona wazungu kubadili dini ni ajabu ni ishara kuwa hamjiamini.
Waarabu wanapenda damu, mtu unashindwa hata kuwahurumia
"Mkuu wa Hamas amesema baada ya vita kuisha....." Huyu mwamba bado hajamuelewa Myahudi. Ukisema Baada ya vita kuisha kwa Myahudi maana yake ni pale HAMAS wote watakapokuwa wamemalizwa au kuteketezwa jumla (they will be wiped out completely)i.e. hatasalia hata mmoja. Je, hao ambao Mkuu huyo anasema wataendelea kufanya uchokozi kama walioufanya October 7 ni akina nani tena? kama ni HAMAS, sio kweli. Mbona HAMAS wote watakuwa wanastarehe na mabikra 72 huko ahera?
Freedom fighter wanateka na kubaka wanawake na watoto. Hao ni magaidi tuSudan wamekufa wangapi?? Au Congo?? Hao HAMAS ni freedom fighter watakufa mwisho watapata uhuru wao.
Free from hamas terrorPalestine will be free in shaa Allah
Free from hamas terror
Freedom fighter wanateka na kubaka wanawake na watoto. Hao ni magaidi tu
Hana lolote huyu,masaa yote analetaga stori za kubuni tu hasa linapo kuja suala la kuwasema vibaya Waislaam -hata historia ya kweli kuhusu Taifa la Palestina wakati wa ukoloni wa Waingereza - hana habari nalo kabisa kabisa, zaidi ya adithi zake za Kinjenkitile and his Omnipotent Demi God the USANdio maana nimekwambia hujui lolote chuki za kidini zimekushika., Emu fuatilia yanayojiri huko Gaza na palestine sio waislamu tu Wazayuni wanawauwa hadi wakiristo kwa mamia.,
Hizo jitihada za kuchinja zimekuja baada ya utawala wa kidhalimu Israel dhidi ya Taifa halali la Palastine, soma kwanza history ya palesine na israel ndio uje hapa
mambo ya ushoga yalianza na huyu unayemuabudu:
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:
Muhammad aliikamilisha ndoa yao kwa tendo la unyumba wakati 'Aisha alipokuwa na umri wa miaka tisa."Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 43 na.236, uk.153.
now I see yo prob dude
hivi hii vita ni Islam fighting against homosexuality.?
Ewe mwenye elimu kasome tena historia ya ukombozi Afrika Kusini, Rhodesia na hata Kenya. Hao watanzania wameshikiliwa kwa sababu ya utanzania wao?Mandela na Mugabe hawakuua wananchi na kushikilia mateka, nyie msivyo na ilmu ya dunia mumeshikilia hadi Watanzania wasiohusiana na ugomvi wenu, mnashabikia ujinga kisa dini.