Mpaka sasa wamekufa 9,700 hivi mashabiki wa HAMAS bado mnaamini huu uchokozi ulikua sahihi?

Mpaka sasa wamekufa 9,700 hivi mashabiki wa HAMAS bado mnaamini huu uchokozi ulikua sahihi?

Wao kobaz wanamtetea allah ila yeye hajiwezi mpaka kutoa adhabu wanamsaidia yaani allah hana tofauti na malkia wa nyuki[emoji1787][emoji1787]
Time is the best answer and allah is the best planner hata huyu mzungu alikuwa na fikra kama zako kijana
 
Attachments

  • Screenshot_20231105-235016_Chrome.jpg
    Screenshot_20231105-235016_Chrome.jpg
    83.2 KB · Views: 3
Makazi yamesambaratishwa, wakimbizi wanateseka kila siku, na hadi sasa vimeripotiwa vifo 9,770..... na bado Israel wanaendelea na shughuli baada ya kuzingira Gaza...............hivi mnaoshabikia kilichofanywa na HAMAS, bado mnakomalia kilikua sahihi?
================

Israel-Hamas war live: death toll in Gaza rises to 9,770, Palestinian health authority says; Abbas tells Blinken there must be ceasefire​

Hiyo idadi bado ndogo sana yani kidogo hadi sasa hivi ingetakiwa icheze laki na zaidi. Kusema kweli kwa hili wateule wametuangusha sana. Hatujaridhika na kufurahi idadi hii ya vifo. Israel ijitafakari asee.
 
From quran , hata huyu kiongozi wa far right wing wa uholanzi alikuwa anauchukia uislamu kama wewe, ila baada ya kufanya research wakati anaandika kitabu chake cha kukashifu uislamu aliishia kuupenda na kusilimu, allah ana njia zake
Huyo ni ukoo kobazi mwenzenu usituongopee hapa,
Kwa taarifa yako hamna nchi hawana dini km Holland,popote pale hakuna
 
Hana uholanzi wowote huyo ni walewale tu babaake au mama au wote ni uzao wakimbizi toka hukohuko kwa magaidi.
Ukweli mchungu huyo siyo mholanzi wa kawaida ni far right wing sujui unaelewa maana yake?
 
Makazi yamesambaratishwa, wakimbizi wanateseka kila siku, na hadi sasa vimeripotiwa vifo 9,770..... na bado Israel wanaendelea na shughuli baada ya kuzingira Gaza...............hivi mnaoshabikia kilichofanywa na HAMAS, bado mnakomalia kilikua sahihi?
================

Israel-Hamas war live: death toll in Gaza rises to 9,770, Palestinian health authority says; Abbas tells Blinken there must be ceasefire​

Sudan wamekufa wangapi?? Au Congo?? Hao HAMAS ni freedom fighter watakufa mwisho watapata uhuru wao.
 
Huyo ni ukoo kobazi mwenzenu usituongopee hapa,
Kwa taarifa yako hamna nchi hawana dini km Holland,popote pale hakuna
Huyu sio kama wewe ,huyu ni mdutch aliyesomea chuo kikuu kuhusu dini ya kikristo na alichukia uislamu hadi alipofanya research wakati anaandiks kitabu chake ndio akaupenda uislamu siyo wewe hata dini yenyewe umefundishwa na mchungaji wa mburahati tu unatupigia kelele hapa
 
Attachments

  • Screenshot_20231106-003732_Chrome.jpg
    Screenshot_20231106-003732_Chrome.jpg
    69.9 KB · Views: 2
Ukweli mchungu huyo siyo mholanzi wa kawaida ni far right wing sujui unaelewa maana yake?
Umeangalia original yake?
Usiwe mfia dini,huyo wazazi wake ni kutoka hukohuko Arab Asia ni wakimbizi tu huko.
Holland ushafika?
Kuna kila zambi kule ila hukuti udini.
Mburahati mi pananitosha sibishi.
Ila huyo unamwongelea usishangae nimekutana nae na tukanywa chai.
Sasa labda tulikutana Mburahati.
 
Huna unachojua zaidi ya mafundisho ya mburahati kuna muarabu anaitwa van klarèven ? Embu acha kujizima data
 
Huna unachojua zaidi ya mafundisho ya mburahati kuna muarabu anaitwa van klarèven ? Embu acha kujizima data
Si kabadilisha tu,
We huna akili huyo hata km anaitwa abdulahi al sis-anabadili aitwe majina ya kizungu ili afiche identinty yake.
Mbona watu wanafanya hayo dunia nzima?
Mkishiba urojo mnawaza kwenda chooni tu na kucheza bao
 
Umeangalia original yake?
Usiwe mfia dini,huyo wazazi wake ni kutoka hukohuko Arab Asia ni wakimbizi tu huko.
Holland ushafika?
Kuna kila zambi kule ila hukuti udini.
Mburahati mi pananitosha sibishi.
Ila huyo unamwongelea usishangae nimekutana nae na tukanywa chai.
Sasa labda tulikutana Mburahati.
Alikuwa anachukia uislamu kuliko wewe ila leo ndio anazunguruka ulaya kuusambaza, mungu ana njia zake
 
Attachments

  • Screenshot_20231106-005306_Chrome.jpg
    Screenshot_20231106-005306_Chrome.jpg
    138.4 KB · Views: 2
Si kabadilisha tu,
We huna akili huyo hata km anaitwa abdulahi al sis-anabadili aitwe majina ya kizungu ili afiche identinty yake.
Mbona watu wanafanya hayo dunia nzima?
Mkishiba urojo mnawaza kwenda chooni tu na kucheza bao
Huyu sio kama wewe huyu ni kiongozi mkubwa uholanzi mkuu anajulikana dunia nzima sijui unaelewa he is a global figure nduo masna unaona vyombo vya habari vya magharibi vyote vimereport habari hii ikiwemo deutsch welle, indepent na daily mail , haya sasa kuna huyu jewish aliyefanya research nae kaangukia kwenye uislamu huyu ukiacha quran vitabu vyake ndio vimewabadilisha wazungu wengi dini kuwa waislamu anaitwa Leopold weiss , huyu baba yake alikuwa jewish rabbi sijui unaelewa maana yake?
 
Attachments

  • Screenshot_20231106-010256_Chrome.jpg
    Screenshot_20231106-010256_Chrome.jpg
    172.5 KB · Views: 1
vimewabadilisha wazungu wengi dini kuwa waislamu anaitwa Leopold weiss
Hamna kitu km hicho,hao unaita wazungu ni binadamu wa kawaida tu,
Kwanza they dont believe anything.
Anaweza kuwa,mkristo,Pagan,mwislam na satan att once.
Hii dini sisi tunashabikia wao wanaona its just a funny thing they can try to believe.
Hata kwamba kuna mungu hawaamini
 
I dont care,
na kwanza sichukii Uislamu.
Jina langu la kiislam Ismail
Haya bwana ismail ila jitahidi moyo wako uwe na upendo kwa binaadamu wenzako na uheshimu uwepo wa mungu na uamini mungu ameumba ulimwengu na vyote vilivyomo ndani huwezi ukawa unasema unampenda mungu huku unaombea babunafurahia haki za binaadamu wenzako kukandamizwa kisa tu sio dini yako
Fikiria mtu kama angelina jolie ambaye amezungukwa na taasisi ambayo jews wanaimiliki lakini ameweza kupaza sauti kwa ajili ya ubinaadamu bila ya kujali maslahi atakayopoteza, leo wewe unafurahia watu kuuliwa kisiasa? Ubinaadamu wako upo wapi ndugu
 
Attachments

  • Screenshot_20231106-011413_Chrome.jpg
    Screenshot_20231106-011413_Chrome.jpg
    79.4 KB · Views: 1
Hamna kitu km hicho,hao unaita wazungu ni binadamu wa kawaida tu,
Kwanza they dont believe anything.
Anaweza kuwa,mkristo,Pagan,mwislan na satan att once.
Hii dini sisi tunashabikia wao wanaona its just a fun thing they can try.
Huyu jamaa si wa kawaida hadi kafanya quran translation kwa kijerumani na ameandika vitabu vingi kueneza uislamu hayupo for fun ni mtu anayeheshimika hadi kwenye uislamu, baba yake alikuwa kiongozi wa jews au rabbi , lakini aliuona mwanga na kuwa famous islamic scholar
 
Back
Top Bottom