babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Sifurahii chochote nishasema sana ,leo wewe unafurahia watu kuuliwa kisiasa? Ubinaadamu wako upo wapi ndugu
Watoto wamama wazee kuuliwa niko against sana kuhusu hilo na siungi mkono.
Problem ni kwanini hao Hamas walianza kuchokoza kule huku wakijua aftermath yake?.
Sasa wayahudi wamepata sababu ndo matokeo haya tunashuhudia.
Na hata wao pia wanakufa ila vita ni vita.