Mpaka sasa wamekufa 9,700 hivi mashabiki wa HAMAS bado mnaamini huu uchokozi ulikua sahihi?

Mpaka sasa wamekufa 9,700 hivi mashabiki wa HAMAS bado mnaamini huu uchokozi ulikua sahihi?

Makazi yamesambaratishwa, wakimbizi wanateseka kila siku, na hadi sasa vimeripotiwa vifo 9,770..... na bado Israel wanaendelea na shughuli baada ya kuzingira Gaza...............hivi mnaoshabikia kilichofanywa na HAMAS, bado mnakomalia kilikua sahihi?
================

Israel-Hamas war live: death toll in Gaza rises to 9,770, Palestinian health authority says; Abbas tells Blinken there must be ceasefire​

Inasikitisha sana maana wengi wao ni watoto wadogo sana.

Hii Vita lazima ikome sasa.
 
Lakin maandishi yako Yana reflect moyo wako dhidi ya jews
Siwezi kuwachukia ila matendo wanayofanya kwa binaadamu wenzao kama mtu mwenye akili timamu huwezi kuyapenda ndio maana unaona hadi orthodox jews wamejitenga na matendo ya netanyahu na wazungu wengi hadi jana 11 councillors wamejiuzulu kwenye chama cha labour kupinga msimamo wa uk kuhusu swala hili la israel na palestine, wanaua watu makusudi huku wakicheka unaona hiyo ni sawa?
 
no hawapo sawa killing innocent people is not acceptable
but what about Hamas walivyo invade Israel na kufanya mauaji na utekaji walikua sawa?
 
Sawa kumbuka juzi tu scotland imemchagua first minister muislamu tena mke wake mpalestina na huku uingereza imeweka record kwa kuchagua wabunge 19 waislamu bado unasema dunia imetukataa? Uislam umekubalika hadi na wazungu wewe chuki ndio zinazokusumbua

Hao ni waislamu jina,waislam halisi ni magaidi wengine waliobaki ni waislam jina tu hata wewe ni muislam wa mchongo.
 
Makazi yamesambaratishwa, wakimbizi wanateseka kila siku, na hadi sasa vimeripotiwa vifo 9,770..... na bado Israel wanaendelea na shughuli baada ya kuzingira Gaza...............hivi mnaoshabikia kilichofanywa na HAMAS, bado mnakomalia kilikua sahihi?
================

Israel-Hamas war live: death toll in Gaza rises to 9,770, Palestinian health authority says; Abbas tells Blinken there must be ceasefire​

Screenshot_20231106-092724.jpg
 
Lakini hawa wengi ni raia wa kawaida hasa wanawake na watoto
 
Na wewe naamini ni mtu mzima na msomi kuingia kwenye huu mtazamo , hawa isis na vikundi vingine unajua nani kavianzisha na kwa sababu zipi? Libya alipotaka kuuliwa gadafi kile kikundi kilipewa hela na silaha na marekani na gadafi aliuliwa on the spot,

Congo hadi leo zaidi ya karne kuna vikundi vingi na vyote vina silaha kali nani anaeapa hela na silaha siku zote hizo?
Ili western waweze kutawala na kuwa na influence sehemu yoyote lazima iwe na mgambo wa kufanya vurugu kwa sababu huwezi kutawala sehemu yenye amani.
Unajua wale unaowaona isis 90% sio waislamu? Na kama unajua dini hawakutaki?

Mkuu ni ngumu sana kuutenganisha uislamu na ugaidi,matendo yako wazi na yanajionyesha bila shaka.
IMG_4046.jpg
 
"Mkuu wa Hamas amesema baada ya vita kuisha....." Huyu mwamba bado hajamuelewa Myahudi. Ukisema Baada ya vita kuisha kwa Myahudi maana yake ni pale HAMAS wote watakapokuwa wamemalizwa au kuteketezwa jumla (they will be wiped out completely)i.e. hatasalia hata mmoja. Je, hao ambao Mkuu huyo anasema wataendelea kufanya uchokozi kama walioufanya October 7 ni akina nani tena? kama ni HAMAS, sio kweli. Mbona HAMAS wote watakuwa wanastarehe na mabikra 72 huko ahera?
Screenshot_20231106-092724.jpg
 
Its just matter of time musa na watu wake waliuliwa na firauni , na aliua hadi kila mtoto aliyezaliwa lakini mwisho wa siku allah alionyesha njia, its just a matter of time , mungu kwenye quran anasema anawapenda wenye kusubiri

Musa alikua myahudi hajawahi kua muislam leo iweje muwachukie wayahudi na kutaka kuwaangamiza?
 
Back
Top Bottom