n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
TakbirrrrMakazi yamesambaratishwa, wakimbizi wanateseka kila siku, na hadi sasa vimeripotiwa vifo 9,770..... na bado Israel wanaendelea na shughuli baada ya kuzingira Gaza...............hivi mnaoshabikia kilichofanywa na HAMAS, bado mnakomalia kilikua sahihi?
================
Israel-Hamas war live: death toll in Gaza rises to 9,770, Palestinian health authority says; Abbas tells Blinken there must be ceasefire
Makazi yamesambaratishwa, wakimbizi wanateseka kila siku, na hadi sasa vimeripotiwa vifo 9,770..... na bado Israel wanaendelea na shughuli baada ya kuzingira Gaza...............hivi mnaoshabikia kilichofanywa na HAMAS, bado mnakomalia kilikua sahihi?
================
Israel-Hamas war live: death toll in Gaza rises to 9,770, Palestinian health authority says; Abbas tells Blinken there must be ceasefire
Wakikusikia Pro Hamas watakshukia kama nzige [emoji3]Hamas ni mashujaa watawatwanga "mayahudi" wakisaidiwa na akina Hizbollah,IS na mashujaa wengine.Tufumbe macho tuwaombee dua njema.
Watasikitika sana watakapofika huko na kukuta kumbe hakuna kuoa wala kuolewa.Acha wafe wameandaliwa Bikra 72
Wanakuta wanapikwa tuhWatasikitika sana watakapofika huko na kukuta kumbe hakuna kuoa wala kuolewa.
Dah! Hasara kweli kweli.Wanakuta wanapikwa tuh
Kama nzige tu?Helikopta za kuwanyunyizia dawa zipo tayaritayari kuwatendea wema.Wakikusikia Pro Hamas watakshukia kama nzige [emoji3]
Sasa kwanini wanaomba Ceasefire?Mkuu wa Hamas amesema baada ya vita kuisha wataendelea kufanya uchokozi kama walioufanya October 7 .... Hawa jamaa ni wabishi kwelikweli
hoja za waislamuKatika population ya Gaza inatajwa
kuna Jews 270,000+ Among them approx 1000 ni christians na nusu ya pop nzima ni watoto, najiuliza inaposemwa kuwa ni vita kati ya christians na muslims base ya hiyo notion ni ipi?
Israel pia kuna Jews na arabs, dini zao ni jewish, chriistians na muslims
Palestine nako mchanganyiko ni huohuo
Mwenye uelewa anisaidie
Huna unachokijua kuna huyu kiongozi mzungu wa uholanzi sio mbumbumbu kama wewe , huyu alikuwa hadi anataka sheria kali zitungwe kuudhibiti uislamu bungeni uholanzi, akawa anaandika kitabu cha kukashifu uislamu, mwisho wa siku akaja kubadili dini na sasa hivi ni swala tano
Sawa kumbuka juzi tu scotland imemchagua first minister muislamu tena mke wake mpalestina na huku uingereza imeweka record kwa kuchagua wabunge 19 waislamu bado unasema dunia imetukataa? Uislam umekubalika hadi na wazungu wewe chuki ndio zinazokusumbua[emoji28][emoji28][emoji28],mnachezewa akili mjae kwenye mfumo. Uislamu hauna maisha marefu dunia imeanza kuwakataa.
Mkuu wa Hamas amesema baada ya vita kuisha wataendelea kufanya uchokozi kama walioufanya October 7 .... Hawa jamaa ni wabishi kwelikweli
ulaya imetukubali hadi kutupa nafasi za juu za uongozi wewe ni nani utukatae, hadi chama cha kikristo cha germany kimempa uongozi muislamu wewe ni nani utukatae?[emoji28][emoji28][emoji28],mnachezewa akili mjae kwenye mfumo. Uislamu hauna maisha marefu dunia imeanza kuwakataa.
Ni rahisi kuwasomba watu kidini kwa sababu kwenye msondeko akili wa kidini kuna upumbavu wa kifaida na hasara kubwa sana.
Ila Mungu hahusiki na huo ubaguzi wa Kipumbaavu ndiyo maana habagui pumzi wala kifo.
Ni vita vilivyoanzishwa na magaidi wa kiislamu dhidi ya Wayahudi, sasa majibu ya Wayahudi hayachagui iwe mtoto au kitu gani wanapiga, maana hao magaidi wa kiislamu wamejificha ndani ya wananchi wa kawaida.
Kawaida tumezoea magaidi wa kiislamu kuchinja Wakristo, ila hapa kama walikosea njia, Wayahudi ni watu hatari sana lazima walipize kisasi....
Na wewe naamini ni mtu mzima na msomi kuingia kwenye huu mtazamo , hawa isis na vikundi vingine unajua nani kavianzisha na kwa sababu zipi? Libya alipotaka kuuliwa gadafi kile kikundi kilipewa hela na silaha na marekani na gadafi aliuliwa on the spot,Ila mungu wa waislam anabagua ndio maana ameagiza wafuasi wake kuchinja asiemini allah.
Alshabab, alqaeda, hamas, isis, taleban, bokoharam, islamic jihad nk kila wanapofanya mauaji lazima watamke allah akbar yaani Mungu mkubwa.
Ushujaa wa kusababisha umauti kwa wasio husika? Una chembechembe za ugaidi.Hamas ni mashujaa watawatwanga "mayahudi" wakisaidiwa na akina Hizbollah,IS na mashujaa wengine.Tufumbe macho tuwaombee dua njema.
Uwe unasoma kwa kutulia kabla haujatoa unavyowaza.Ushujaa wa kusababisha umauti kwa wasio husika? Una chembechembe za ugaidi.
Ila mungu wa waislam anabagua ndio maana ameagiza wafuasi wake kuchinja asiemini allah.
Alshabab, alqaeda, hamas, isis, taleban, bokoharam, islamic jihad nk kila wanapofanya mauaji lazima watamke allah akbar yaani Mungu mkubwa.
Hamas wanapambana huku wamejificha kwenye mawowowo ya akina mama.πππBasi vita isiishe. Waendelee kushughulikiwa maana wakiachwa watafanya tena ugaidi na next time wataua zaidi kuliko Oct 7