Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii takwimu imetolewa na Ukraine?Mbele kwa mbele....kamji ka chumvi, kama unayeacha Dar unakwenda kugombania Segerema...
![]()
Kuna wanajeshi wangapi kaka hapa tanzania? Tujuze kaka[emoji120]Tanzania haiwezi afford kuwa na wanajeshi active 50,000 kwa bajeti ya jeshi ilivyo na mishahara & marupurupu yalivyo.
Ukiachana na tulipoenda vitani dhidi ya Iddi Amin tulipofanya mobilization na kupata wanajeshi wengi, hatujawa na idadi kubwa baada ya hapo
Hahaha! Mjinga huyo achana nayeHizi takwimu chanzo chake ni wapi? Je Marekani imefunga mtambo wa kuhesabu wanajeshi wa Urusi halafu wanakushuria wewe taarifa uzilete hapa JF, au sio mkuu?
Hichi kikaratasi chako unakikubali sana😂😂Jana walichinjwa 850🥱🥱View attachment 2501413
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukraine kuna majeruhi mmoja tu wa kidole. Jamaa wanapigana sana wana akiliUkraine 🇺🇦 hajafa hata mmoja
Kwa hiyo lile li msafara la wanajeshi 150, 000. Wamrbaki 23,000 tu?Kwa minajili ya Wikipedia, active personell wa JWTZ ni 28,000 sasa ukizingatia wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, au kama vipi hapo ina maana wamefyekwa idadi ya ukijumlisha KDF, JWTZ, UDF, RDF n.k.
Jameni licha la hasara yote hiyo, Urusi wameambulia kugombania kamji ka chumvi huko mpakani, subirini vifaru vije ndio mziki utakua mtamu.
============
The Ukrainian Armed Forces claimed Tuesday to have "liquidated" 850 Russian servicemen during the last day of fighting and raised to more than 127,000 the total number of Russian soldiers killed since the beginning of the invasion, a figure that contrasts with the one provided by Moscow, which has not updated its casualty toll for weeks.
The General Staff of the Ukrainian Army has pointed out in a message published on its official account on the social network Facebook that since the outbreak of the war on February 24, 2022, 127,500 Russian servicemen have been "liquidated", while 3,201 battle tanks, 2,197 artillery systems and 221 Russian anti-aircraft defense systems have been destroyed.
MSN
www.msn.com
Unamtukana bure kila kitu kimewekwa wazi mtandaoni.We bogus kweli,2009 pakidaiwa Kuna jwtz 50k,na wadau wakisema ni zaidi ya hapo,hiyo figure ya 50k binafsi naisikia tangu 2004
Nimeshangaa aseee wabongoUnamtukana bure kila kitu kimewekwa wazi mtandaoni.
Ungefanya utafiti kabla ya kujibu
mambo ya jeshi hayawekwi mitandaoni Babu,idadi ya Askari ulio nao ni Siri ya jeshi,hayo ya mitandaoni ni makadirio tuUnamtukana bure kila kitu kimewekwa wazi mtandaoni.
Ungefanya utafiti kabla ya kujibu
Nchi ya mkumbo na hearsayNimeshangaa aseee wabongo
Idadi ya wanajeshi ni Siri ya nchi,mitandaoni ni makadirio tu,jwtz walitangaza wapi idadi ya Askari wao!?Nimeshangaa aseee wabongo
"World's toughest fighter jet"Kwa minajili ya Wikipedia, active personell wa JWTZ ni 28,000 sasa ukizingatia wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, au kama vipi hapo ina maana wamefyekwa idadi ya ukijumlisha KDF, JWTZ, UDF, RDF n.k.
Jameni licha la hasara yote hiyo, Urusi wameambulia kugombania kamji ka chumvi huko mpakani, subirini vifaru vije ndio mziki utakua mtamu.
============
The Ukrainian Armed Forces claimed Tuesday to have "liquidated" 850 Russian servicemen during the last day of fighting and raised to more than 127,000 the total number of Russian soldiers killed since the beginning of the invasion, a figure that contrasts with the one provided by Moscow, which has not updated its casualty toll for weeks.
The General Staff of the Ukrainian Army has pointed out in a message published on its official account on the social network Facebook that since the outbreak of the war on February 24, 2022, 127,500 Russian servicemen have been "liquidated", while 3,201 battle tanks, 2,197 artillery systems and 221 Russian anti-aircraft defense systems have been destroyed.
MSN
www.msn.com
Jwtz walitangaza wapi idadi ya Askari wao!?..idadi ya askari ni Siri,unaambiwa china Ina Askari jeshi laki mbili,unadhani kweli!?Nchi ya mkumbo na hearsay
Dunia nzima kasoro North Korea taarifa muhimu kama idadi ya active personnel na zana za kijeshi taarifa zao zipo mtandaoni na sio dhambi.mambo ya jeshi hayawekwi mitandaoni Babu,idadi ya Askari ulio nao ni Siri ya jeshi,hayo ya mitandaoni ni makadirio tu
Huko mitandaoni si ndiko mnakoambiwa jwtz tuna ndege Vita 8 tu...na unaamini!?Dunia nzima kasoro North Korea taarifa muhimu kama idadi ya active personel na zana za kijeshi taarifa zao zipo mtandaoni na sio dhambi.
Nasema baadhi kqasababu haziwezi kuwekwa zote.
Hivyo uache ubishi usiokuwa na sababu
Jwtz walitangaza wapi idadi ya Askari wao!?..idadi ya askari ni Siri,unaambiwa china Ina Askari jeshi laki mbili,unadhani kweli!?
Wao wamepata wapi ikiwa majeshi hayana utaratibu wa kutangaza idadi ya askari wao!?..hapo kigumu kuelewa nini!?... marekani nchi ya uwazi imetoa takwimu rasmi za vikosi vyake?Largest armies in the world by active military personnel 2022 - Statista