Wewe ni mbishi wa asili na ni aibu kwa karne kuwa mbishi usiye na hojaWao wamepata wapi ikiwa majeshi hayana utaratibu wa kutangaza idadi ya askari wao!?..hapo kigumu kuelewa nini!?... marekani nchi ya uwazi imetoa takwimu rasmi za vikosi vyake?
Tunahesabu wale wa yule aliyepanga kuikama Ukraine kwa wiki moja bila askari wake kufa wala vifaa kuharibiwa.Ukraine wao hawajafa siyo
kama huoni hoja hapo una matatizo,ukitaka kupata idadi ya madaktari walioajiriwa na serikali tz unaenda wizara ya afya,ukitaka kujua idadi ya wanajeshi tz unaenda wizara ya ulinzi,Sasa wapi wizara ya ulinzi walipoweka idadi ya wanajeshi!?Wewe ni mbishi wa asili na ni aibu kwa karne kuwa mbishi usiye na hoja
Acha kuishi kwa propaganda za mabeberu 🤔Kwa minajili ya Wikipedia, active personell wa JWTZ ni 28,000 sasa ukizingatia wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, au kama vipi hapo ina maana wamefyekwa idadi ya ukijumlisha KDF, JWTZ, UDF, RDF n.k.
Jameni licha la hasara yote hiyo, Urusi wameambulia kugombania kamji ka chumvi huko mpakani, subirini vifaru vije ndio mziki utakua mtamu.
============
The Ukrainian Armed Forces claimed Tuesday to have "liquidated" 850 Russian servicemen during the last day of fighting and raised to more than 127,000 the total number of Russian soldiers killed since the beginning of the invasion, a figure that contrasts with the one provided by Moscow, which has not updated its casualty toll for weeks.
The General Staff of the Ukrainian Army has pointed out in a message published on its official account on the social network Facebook that since the outbreak of the war on February 24, 2022, 127,500 Russian servicemen have been "liquidated", while 3,201 battle tanks, 2,197 artillery systems and 221 Russian anti-aircraft defense systems have been destroyed.
Inabidi wafanye mobilisation mpya.Jana walichinjwa 850🥱🥱View attachment 2501413
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Siku Russia akifanya Mobilization mpya basi nitaamini hiyo idadi ya wanajeshi wa Russia kwamba kweli wamekufa. Haiwezekani ufanye Mobilization ya raia wakati wanajeshi waliokufa ni wachache.Inabidi wafanye mobilisation mpya.
Itoleeni album na muiweke kwenye muvi wazee wa unHollywoodKwa minajili ya Wikipedia, active personell wa JWTZ ni 28,000 sasa ukizingatia wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, au kama vipi hapo ina maana wamefyekwa idadi ya ukijumlisha KDF, JWTZ, UDF, RDF n.k.
Jameni licha la hasara yote hiyo, Urusi wameambulia kugombania kamji ka chumvi huko mpakani, subirini vifaru vije ndio mziki utakua mtamu.
============
The Ukrainian Armed Forces claimed Tuesday to have "liquidated" 850 Russian servicemen during the last day of fighting and raised to more than 127,000 the total number of Russian soldiers killed since the beginning of the invasion, a figure that contrasts with the one provided by Moscow, which has not updated its casualty toll for weeks.
The General Staff of the Ukrainian Army has pointed out in a message published on its official account on the social network Facebook that since the outbreak of the war on February 24, 2022, 127,500 Russian servicemen have been "liquidated", while 3,201 battle tanks, 2,197 artillery systems and 221 Russian anti-aircraft defense systems have been destroyed.
🤣🤣🤣😂😂😂😂😶Ukraine 🇺🇦 hajafa hata mmoja
Bajeti ya jwtz we waijua!?..binafsi sijawahi sikia bajeti ya wizara ya ulinzi..kipindi Cha mkapa mpaka jk walikua wakiajiriwa wajeda wasiopungua 3k kwa mwaka
Bajeti ya Jeshi ni kiasi gani?
Kipindi cha Nyerere baada ya mass recruitment ya vita kuna kupungua speed kwa kuita watu jeshini, from late 1970s to around 2000. Idadi ya wanajeshi wa umri mkubwa miaka ya 2000 walianza kustaafu. Hao wanahitaji marupurupu yao na pia wanahitaji kuwa replaced, na ukijaza nafasi zao kwa fujo unafanya kuwa na age gap muda hao waliojaza wanapostaafu.Kipindi Cha mkapa na kikwete wakiajiriwa watu walau 3k kila mwaka,ajira za jwtz zilisita kipindi Cha magu,jwtz kuwa na wanajeshi 28k SI kweli...lakini matumizi kwenye ulinzi na usalama huwa Siri na kipaumbele
Hizi takwimu chanzo chake ni wapi? Je Marekani imefunga mtambo wa kuhesabu wanajeshi wa Urusi halafu wanakushuria wewe taarifa uzilete hapa JF, au sio mkuu?
Kama Urusi wamekufa wanajeshi 127,000 then utakuwa na matatizo ya kufikiri vizuri kuleta hii mada, hujiulizi kwa idadi hii, je ukraine watakuwa wamekufa wa ngapi? Kama mpaka December,2022 walikuwa wamekufa zaidi ya wanajeshi 100,000 wa Ukraine kulingana na kauli ya EU, je mpaka sasa free wanajeshi wa ukraine watakuwa wamekufa wa ngapi?Kwa minajili ya Wikipedia, active personell wa JWTZ ni 28,000 sasa ukizingatia wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, au kama vipi hapo ina maana wamefyekwa idadi ya ukijumlisha KDF, JWTZ, UDF, RDF n.k.
Jameni licha la hasara yote hiyo, Urusi wameambulia kugombania kamji ka chumvi huko mpakani, subirini vifaru vije ndio mziki utakua mtamu.
============
The Ukrainian Armed Forces claimed Tuesday to have "liquidated" 850 Russian servicemen during the last day of fighting and raised to more than 127,000 the total number of Russian soldiers killed since the beginning of the invasion, a figure that contrasts with the one provided by Moscow, which has not updated its casualty toll for weeks.
The General Staff of the Ukrainian Army has pointed out in a message published on its official account on the social network Facebook that since the outbreak of the war on February 24, 2022, 127,500 Russian servicemen have been "liquidated", while 3,201 battle tanks, 2,197 artillery systems and 221 Russian anti-aircraft defense systems have been destroyed.
Eti Mrusi hana lolote!! Huna hata aibu, kwani helicopter gunships za KDF zilinunuliwa kutoka taifa gani? Kuwa mkweli hapa - husifikiri hatujui.Urusi hana lolote kwa sasa hivi..takbirr
Kama Urusi wamekufa wanajeshi 127,000 then utakuwa na matatizo ya kufikiri vizuri kuleta hii mada, hujiulizi kwa idadi hii, je ukraine watakuwa wamekufa wa ngapi? Kama mpaka December,2022 walikuwa wamekufa zaidi ya wanajeshi 100,000 wa Ukraine kulingana na kauli ya EU, je mpaka sasa free wanajeshi wa ukraine watakuwa wamekufa wa ngapi?
Eti Mrusi hana lolote!! Huna hata aibu, kwani helicopter gunships za KDF zilinunuliwa kutoka taifa gani? Kuwa mkweli hapa - husifikiri hatujui.
Sasa mnashwindwa nini kumaliza vita? Au unataka kusema mateja na wafungwa wapo vizuri kuliko Ukraine army + NATO?Mrusi niliyedhani namjua sio huyu ambaye amehangaishwa na kajirani hapo hadi anaokoteza mateja na wafungwa wakampiganie.