Mpaka sasa Yanga na Berkane tunaongoza. Tumepambana sana. Simba atashinda njaa tu. Kombe habebi

Mpaka sasa Yanga na Berkane tunaongoza. Tumepambana sana. Simba atashinda njaa tu. Kombe habebi

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Toka Jumatatu team ya watu 13 wamepambana sana kutembea sehemu mbalimbali kusimamisha hii game. Tumeenda Morogoro, Tanga, Zanzibar, Mtwara na Tabora. Matokeo ambayo tumepewa ni ya kuridhisha.

Mkia anachapwa first leg na 2nd pia hafanikiwi. Kombe linaondoka. Wazee wamepambana sana. Simba itakosa kosa magoli haijawahi tokea Duniani. Halafu watakuwa wamechooooka ile kinyama. Maana watalimishwa usiku kabla ya game.

Yanga ndo wakali wa hizi kazi. Tunaelewa kucheza kitamaduni na hatujawahi shindwa. Simba ikichukua hili Kombe nipigwe Ban ya mwezi mzima.
 
..........SANA SIMBA NA YANGA UNAKUWA KICHAA ,AU KICHAA KABISA.
 
Back
Top Bottom