Mpaka siku muafrika aachane na mambo ya dini, ndio siku atakayoendelea

Mpaka siku muafrika aachane na mambo ya dini, ndio siku atakayoendelea

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Wanaosema dini ni nusu ya uchizi hawajakosea.

Fikiria, kabla dini haijaletwa mtu mweusi ulikua na maisha yako na namna ya kuomba Mungu kwa dini zako za asili.

Baada ya kuletewa dini leo hii wewe ndio unajikuta unaijua zaidi ile dini kuliko walioileta, Kwamba wewe ulie Maneromango ndio unamjua mtume zaidi kuliko hata watu wa kijijini kwao alipozaliwa UKICHAA.

Dini ilikua mifumo ya watu weupe kumtawala mtu mweusi, inamaana kama hadi karne hii bado umeshikilia dini Jua kua wewe ni mtumwa wa Muarabu au Mzungu.

Kama unabisha fuatilia vita ya Iran na Mrekani/Israel, Muislamu na Mkristo wanaokaa nchi maskini inayonuka shida wananuniana na kubishana kwa sababu wapo team mbili tofauti, Muislam anajikuta Muiran na Mkristo anajikuta Mmarekani/muisrael.

Sasa hicho si kama kichaa?

NChi kama China,India na baadhi ya nchi ambazo waliukwepa huu mtego wa dini za kuletewa ndio maana hadi leo wanakua kwa kasi.

Mtu mweusi bado ni Nyani tofauti ni kwamba haishi porini, Mtu mweusi ni Nyani wa mjini.
 
Attachments

  • AQMkUYUyIFnIYTJX3yGXRwq1sRNRcZm4q2G1ws3F1dvf3DKxVM9SfZl9jLLcY87Sw2UsDdczPF_lRoiz8ND2NFdVFsaZmy...mp4
    4 MB
🤔
 
Attachments

  • AQMkUYUyIFnIYTJX3yGXRwq1sRNRcZm4q2G1ws3F1dvf3DKxVM9SfZl9jLLcY87Sw2UsDdczPF_lRoiz8ND2NFdVFsaZmy...mp4
    4 MB
Unaacha dini bado unasoma elimu ya mzungu ,pesa zako zinachapishwa nje ya Africa 😅😅..Fala unajitambua kweli ,watu weupe waliposhika hupajui...Leo ili mwafrika awe tajiri lazima amiliki magari ya kuagiza kutoka nje ,mtu anavimba kabisa eti ana V8 imeagiza kutoka nje huyo ndiye tajiri Tanzania .

Wajinga futeni elimu kwanza kama hamtaki kutawaliwa...
 
Nyani wa mjini
 
Mtu mweusi bado ni Nyani tofauti ni kwamba haishi porini, Mtu mweusi ni Nyani wa mjini.
Pia hii narrative ilitumiwa na wazungu kufanya waafrika waji feel inferior, wajidharau na kutojipenda
Kama na wewe umeimeza hii narrative na unaitumia hadi leo, maana yake wazungu wameshakuwin, umekuwa mtumwa wa kifikra, huna tofauti kubwa sana na wafia dini
Wote nyie ni target ya wazungu na wamewakamata patamu sana bila yoyote kati yenu kujua
 
Unaacha dini bado unasoma elimu ya mzungu ,pesa zako zinachapishwa nje ya Africa 😅😅..Fala unajitambua kweli ,watu weupe waliposhika hupajui...Leo ili mwafrika awe tajiri lazima amiliki magari ya kuagiza kutoka nje ,mtu anavimba kabisa eti ana V8 imeagiza kutoka nje huyo ndiye tajiri Tanzania .

Wajinga futeni elimu kwanza kama hamtaki kutawaliwa...
Elimu inatoa ujinga, dini inaongeza ujinga
 
Where did this standard came from sir? Just curious...

We differ from other animals.
Even before Christianity and Muslim and in other places around the world, Indigenous people (whom yet not affected by external Interaction) has their believes.

Its human nature. We constant seek to search the knowledge.
 
kwanini usiweke picha ya wachungaji wa kigalatia kuwasilisha mada yako, kwanini utolee mfano uislamu?

1774781486592.png
 
We differ from other animals.
Even before Christianity and Muslim and other places around the world, Indigenous people (whom yet not affected by external Interaction) has their believes.

Its human nature. We constant seek to search the knowledge.

So the belief can be on anything not importantly religion! If I believe in science or in astrology or in natural resources I'll be seeking and searching for knowledge as well! I don't have to believe on fanatism brought by arabs nor Europeans
 
For sure. But also there is no wrong in believing in their Religions.
 
Back
Top Bottom