Elimu ipi kijana nenda kasome elimu ya mila zenu ,hizi za wazungu zimekufanya kuwa mjinga na kuwaza kuwa Mtumwa zaidi...Mkimaliza kusoma mnataka kwenda utumwani nchi za nje...Wewe ni mtumwa kwa elimu ambayo sio asili yako .Elimu inatoa ujinga, dini inaongeza ujinga
Eti elimu sip asili yakoElimu ipi kijana nenda kasome elimu ya mila zenu ,hizi za wazungu zimekufanya kuwa mjinga na kuwaza kuwa Mtumwa zaidi...Mkimaliza kusoma mnataka kwenda utumwani nchi za nje...Wewe ni mtumwa kwa elimu ambayo sio asili yako .
Tambue mtumwa ,leo unategemea mafuta kutoka nje na kila ,hapo ni mjinga usiyejitambua kwa vile uliandaliwa kuwa mjinga tena darasani..Jitambue wewe ni mjinga.
Sasa kwani yote tunatumia bure ? Hapo tulipishikwa akili...Kiufupi ,wanakuaminisha wanavyoamini wao.Eti elimu sip asili yako
Uko hapa unatumia maandishi kuandika ujinga wako, unatumia simu na browser ya Google. Ukiumwa unaenda hospitali kunywa dawa za vidonge na kuchoma sindano, asubuhi ukiamka unapiga mswali na unatumia dawa ya meno. Hujavaa mashuka ya Kiafrika bali unavaa nguo za kawaida ambazo sijui zimetoka wapi
Halafu uko hapa kuniambia elimu ni utumwa. Dini ndio utumwa kwa sababu inahusisha kumnyenyekea Mungu wa Israel au wa Kiarabu
Elimu na lifestyle nyingine hazihusihi unyenyekevu na ibada
Kwa hii hoja yako basi dunia nzima ni watumwaSasa kwani yote tunatumia bure ? Hapo tulipishikwa akili...Kiufupi ,wanakuaminisha wanavyoamini wao.
Hapa Africa hii elimu yenu imezalisha mafisadi kama wote ,kama unabisha angalia viongozi wote wamesoma elimu ipi.
..
Wewe ni mtumwa kwa sababu uko limited kifikra ,hauna mawazo huru zaidi ya vile unvayoletewa..Leo kuna AI basi unaona unaijua ila kesho wanataleta teknolojia nyingine utaifuata tena 😅😅😅....Wao wanaamua wakupelekea vip ,kiufupi ni mtumwa usiyejijua ni hatari zaidi kuliko hata UKIMWI...Ukimaliza kusoma hiyo elimu ,unamuona wazee wako wasiosoma kama wajinga wewe hauna uwezo wa kifikiria nje ya hiyo elimu.
Kwa mfano unaamini duniani kuna gravitational force ,basi unajua tu hivyo na hauwezi kuuliza kwamba hiyo force imetoka wapi....Ni kama vile unavyojua 1+1=2 na akili yako imeishia hapo😅😅
Yeah ,vita inaendelea congo kwa miaka na miaka ila umeona uchumi wa ulaya ukitikisika zaidi ya congo..Sasa vita ya Iran na USA-Israel ni mwezi tu ila ona balaa na maisha yanaweza kupanda kwa kasi.Kwa hii hoja yako basi dunia nzima ni watumwa
Unaonaje tukiacha kupeleka watoto shule. Tanzania itaendelea kwa kasi sanaYeah ,vita inaendelea congo kwa miaka na miaka ila umeona uchumi wa ulaya ukitikisika zaidi ya congo..Sasa vita ya Iran na USA-Israel ni mwezi tu ila ona balaa na maisha yanaweza kupanda kwa kasi.
May be tuna elimu kwa nn bado tunaagiza vitu kutoka nje ,kwenye cycle yangu ni maprofessor kama wawili ila ni wakubwa kwangu ..Ninajua na watu wasomi sana ila wote biashara zao kama mawinga ...Hizi assignment hata huko chuo watu wanapasiana mwaka wa mbele na kuwapatia madogo wa nyuma
.Kwenye elimu hamna kipya wala cha kuhofia ukiwa na mawazo huru .Kujifunza ni kheri ila unatakiwa uwe na mawazo huru sio akili iko centralized...Elimu imetuandaa kuwa watumwa tena wajinga tunaovaa suti
Unaendelea kwenda wapi? Bro tumeingia kingi ,elimu ni pana sana ila hatuko huru kuchagua tunayoendana nao ..Uogo wetu ni kukosa mikopo na kutengwa kimataifa...Bora iran yuko isolated ila yuko deep?Unaonaje tukiacha kupeleka watoto shule. Tanzania itaendelea kwa kasi sana
Hamtaki dini zao ila mnataka elimu yaoProblem with religion ni hazina logic, ili kuamini kitu kisicho na logic lazima uwe mpumbavu or mjinga by choice
So mtu mweusi (not all of them) ila most of them wameuchagua uninga by choice and hawataki kutoka huko