comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Ule ni uchiziUkiwa mfia dini lazima uwe mpumbavu
Nyani wa mjiniUnaacha dini bado unasoma elimu ya mzungu ,pesa zako zinachapishwa nje ya Africa 😅😅..Fala unajitambua kweli ,watu weupe waliposhika hupajui...Leo ili mwafrika awe tajiri lazima amiliki magari ya kuagiza kutoka nje ,mtu anavimba kabisa eti ana V8 imeagiza kutoka nje huyo ndiye tajiri Tanzania .
Wajinga futeni elimu kwanza kama hamtaki kutawaliwa...
Human beings are constantly in need of believing in something
Pia hii narrative ilitumiwa na wazungu kufanya waafrika waji feel inferior, wajidharau na kutojipendaMtu mweusi bado ni Nyani tofauti ni kwamba haishi porini, Mtu mweusi ni Nyani wa mjini.
Does that something have to be religion?Human beings are constantly in need of believing in something
Elimu inatoa ujinga, dini inaongeza ujingaUnaacha dini bado unasoma elimu ya mzungu ,pesa zako zinachapishwa nje ya Africa 😅😅..Fala unajitambua kweli ,watu weupe waliposhika hupajui...Leo ili mwafrika awe tajiri lazima amiliki magari ya kuagiza kutoka nje ,mtu anavimba kabisa eti ana V8 imeagiza kutoka nje huyo ndiye tajiri Tanzania .
Wajinga futeni elimu kwanza kama hamtaki kutawaliwa...
Problem with religion ni hazina logic, ili kuamini kitu kisicho na logic lazima uwe mpumbavu or mjinga by choiceUkiwa mfia dini lazima uwe mpumbavu
Where did this standard came from sir? Just curious...
Does that something have to be religion?
We differ from other animals.
Even before Christianity and Muslim and other places around the world, Indigenous people (whom yet not affected by external Interaction) has their believes.
Its human nature. We constant seek to search the knowledge.
Asante sana mkuuHuman beings are constantly in need of believing in something
So the belief can be on anything not importantly religion! If I believe in science or in astrology or in natural resources I'll be seeking and searching for knowledge as well! I don't have to believe on fanatism brought by arabs nor Europeans