Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Wakuu,
Huu mjadala bungeni ni geresha tu, kutuuza mchana kweupe na watu tupo tu tunafatilia eti tuone maajabu yakitokea. Mnafikiri kitatokea kitu tofauti?
Si ni kuridhisha tu watu kuwa kuna taratibu zilifanywa kutoa maelezo kwa wananchi kuwa mkataba huu ulipitiwa vizuri kabla haujapitishwa😂😂.
Hakuna lolote litabadilika, ni kupigia mstari kuwa tumepigwa. Ndio tujifunze kuchagua watu wa maana sio umehogwa visenti viwili huyo unashupaza fithiemu mbele kwa mbele.
waonaojua kazi imesha wala hawahangaiki ni hili bunge!