Pre GE2025 Mpaka yanatumika magari kutangaza birthday ya Rais Samia lakini bado kiki imebuma. Safari hii watanzania wamenuna kwelikweli!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kibaya chajitembeza Kizuri chajiuza!
Sasa sijui katika makundi hayo mawili Mama yuko kundi gani.
 
Kweli Wanawake ni watu wa emotions sana

Tumeshuhudia Marais wote wa kiume, hakuna aliyewahi kufanya birthday kusherehekea Siku ya kuzaliwa.

Hata Mkwere mwenyewe alifanya baada ya kutoka madarakani

Bahati mbaya ndiyo wanampigia Kampeni twende naye hadi 2030 🙌
 
Wakuu,

View attachment 3215630

CCM ndio mko deparate kiasi hiki?:BearLaugh::BearLaugh: Nguvu kubwa sana inatumika kumpaisha 'mama' lakini watanzania wamegoma kutoa kiki:BearLaugh::KEKWlaugh::pepeLaughers:

Barabara zimebaki nyeupe muonekane kwa uzuri lakini bado haijasaidia :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: . Wasanii kwenda kula keki na kugawa mitungi nako hakujasaidia kupaisha kiki hata ikafika hapo Morogoro tu. Ni huzuni:pepeLaughers::pepeLaughers::pepeLaughers:.

Mnatumia mpaka rasirimali zetu vibaya mradi tu kumpaisha mama lakini wapi. Hiyo hela ya mafuta mnachezea hapo si bora ingeenda sadia mtu mwenye uhitaji ikamsogeza kidogo.

Bado mtaisoma namba kama mwimbo wenu unavyosema mpaka akili ikae vizuri😂😂. Ni mwendo wa mikausho mikali tu kama hatuwaoni vile.

Watanzania wa jana si wa leo, tongotongo zinaanza kuondoka na mwangaza kuonekana.

Chawa mnasemajeeeeee..... tumewashika mwaka huuu mtakauka:BearLaugh::BearLaugh::KEKWlaugh:
Bora hizo hela wangenunua gloves za hospitali ili mama wa kujifungua asikodi bajaji kutoka hospitali kurudi nyumbani kufanyiwa operation kwa mkasi na mumewe.
 
Mnatumia mpaka rasirimali zetu vibaya mradi tu kumpaisha mama lakini wapi. Hiyo hela ya mafuta mnachezea hapo si bora ingeenda sadia mtu mwenye uhitaji ikamsogeza kidogo.
Hivi huyu mzanzibari anajua kuwa kuna watu hawapati hata dawa hospitali!! Hii ni kufuru kwakweli
 
Huyo ni mtu binafsi mwenye mapenzi na Raise wake! Ni jambo zuri sana amefanya ingawa wewe unaumia
 
Wakuu,

View attachment 3215630

CCM ndio mko deparate kiasi hiki?:BearLaugh::BearLaugh: Nguvu kubwa sana inatumika kumpaisha 'mama' lakini watanzania wamegoma kutoa kiki:BearLaugh::KEKWlaugh::pepeLaughers:

Barabara zimebaki nyeupe muonekane kwa uzuri lakini bado haijasaidia :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: . Wasanii kwenda kula keki na kugawa mitungi nako hakujasaidia kupaisha kiki hata ikafika hapo Morogoro tu. Ni huzuni:pepeLaughers::pepeLaughers::pepeLaughers:.

Mnatumia mpaka rasirimali zetu vibaya mradi tu kumpaisha mama lakini wapi. Hiyo hela ya mafuta mnachezea hapo si bora ingeenda sadia mtu mwenye uhitaji ikamsogeza kidogo.

Bado mtaisoma namba kama mwimbo wenu unavyosema mpaka akili ikae vizuri😂😂. Ni mwendo wa mikausho mikali tu kama hatuwaoni vile.

Watanzania wa jana si wa leo, tongotongo zinaanza kuondoka na mwangaza kuonekana.

Chawa mnasemajeeeeee..... tumewashika mwaka huuu mtakauka:BearLaugh::BearLaugh::KEKWlaugh:
Hivi kuna chawa wanaitetea hii
 
Back
Top Bottom