Mpambano: Mange Kimambi Vs Frank Gonga a.k.a Baba Bhoke

Status
Not open for further replies.

Kusema ukweli tabia zake si njema kabisa kwa malezi ya watoto wadogo.

Mtu mzima mwenye akili timamu na mwenye kuweka maslahi ya watoto wake mbele hawezi ku behave kama anavyo behave yeye huko mtandaoni.

But it's none of my business to give her counsel.

I don't know her and she don't know me either.

All I can do is opine based on what is posted about her in these forums.

I am a subscriber of the 'live and let live' philosophy.
 
Hivi Bhoke atajisikiaje akiona matusi wazazi wake wanavyotupiana?

Imagine that!

Na usikute tayari anazijua tabia za huyo mama yake maana hivi vitoto vya siku hizi viko savvy sana ikija kwenye haya mambo ya mitandao.

Pata picha mama yako mzazi anaporomosha mitusi ya nguoni kama huyo mdada.

Utajisikiaje?
 
Imagine that!

Na usikute tayari anazijua tabia za huyo mama yake maana hivi vitoto vya siku hizi viko savvy sana ikija kwenye haya mambo ya mitandao.

Pata picha mama yako mzazi anaporomosha mitusi ya nguoni kama huyo mdada.

Utajisikiaje?
She needs to be sorted out mkuu, she is in a mess and sadly she is not aware of.
 
Just imagine she always says her billionaire boyfriend don't want her to engage in people's business especially politics lakini hamsikilizi, huyu ni mtu wa aina gani ambae hataki kumsikiliza hata mwandani wake. Even though we all know hana bwana wa maana sema kujikwaza tuu, yule angeacha kupost hata balcony ya billionaire boyfriend hahahaa
 
She is obsessed with being rich and famous and that has affected her psychologically.
 
Hivi huo ushauri unautoa kwa mange kabisaaaa!! Hapa mimi namhurumia mtoto maana kama ni wazazi tu kakosa.
 
Kwa kweli inabidi nikatubu dhambi baada ya kusoma post za Mange, si kwa matusi yale asee
 
Ngoja wasutane ila wakumbuke kuwa wao ni washauri tu huwezi kumlazimisha mtoto kusomea jambo fulani kufanya hivyo ni kumnyima Uhuru mtoto!!
 
huyu linda ndyo nani tena
 
Kuwapikia!!! Kuwapikia kwenyewe anapika chakula cha wiki nzima watoto wanalishwa viporo tu eti yuko busy, hivi mange yuko busy na nini zaidi ya matusi.
 
Bora kuzaa umpe amuue yeye kuliko angemtoa akiwa tumboni.alifanya jambo la maana sana.tena wanaume wanaojua kutomboka kutake responsibility hawawezi hiyo ndo dawa yao..nyooo eti mwanamke gani .
I hope yo aint a woman.
 
traffic manager ndyo kazi gani hii
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…