Mpambano: Mange Kimambi Vs Frank Gonga a.k.a Baba Bhoke

Mpambano: Mange Kimambi Vs Frank Gonga a.k.a Baba Bhoke

Status
Not open for further replies.
Unaonaje kama mkuu wa wabeba box USA,umshauri Mange ajipumzishe na hizi social website for sometime-I fear sooner or later something will have to give-I fear for her sanity-hii vita ya sasa surely will not leave her in one piece-she may end up losing even custody ya hao watoto wengine

Kusema ukweli tabia zake si njema kabisa kwa malezi ya watoto wadogo.

Mtu mzima mwenye akili timamu na mwenye kuweka maslahi ya watoto wake mbele hawezi ku behave kama anavyo behave yeye huko mtandaoni.

But it's none of my business to give her counsel.

I don't know her and she don't know me either.

All I can do is opine based on what is posted about her in these forums.

I am a subscriber of the 'live and let live' philosophy.
 
Hivi Bhoke atajisikiaje akiona matusi wazazi wake wanavyotupiana?

Imagine that!

Na usikute tayari anazijua tabia za huyo mama yake maana hivi vitoto vya siku hizi viko savvy sana ikija kwenye haya mambo ya mitandao.

Pata picha mama yako mzazi anaporomosha mitusi ya nguoni kama huyo mdada.

Utajisikiaje?
 
She needs to be sorted out mkuu, she is in a mess and sadly she is not aware of.
 
Kusema ukweli tabia zake si njema kabisa kwa malezi ya watoto wadogo.

Mtu mzima mwenye akili timamu na mwenye kuweka maslahi ya watoto wake mbele hawezi ku behave kama anavyo behave yeye huko mtandaoni.

But it's none of my business to give her counsel.

I don't know her and she don't know me either.

All I can do is opine based on what is posted about her in these forums.

I am a subscriber of the 'live and let live' philosophy.
Just imagine she always says her billionaire boyfriend don't want her to engage in people's business especially politics lakini hamsikilizi, huyu ni mtu wa aina gani ambae hataki kumsikiliza hata mwandani wake. Even though we all know hana bwana wa maana sema kujikwaza tuu, yule angeacha kupost hata balcony ya billionaire boyfriend hahahaa
 
She is obsessed with being rich and famous and that has affected her psychologically.
 
Mange hajafanya fair kuanika hayo mambo, hata kama frank ndiyo ameanza angepiga kimya...kujidhalilisha tu mtu gani anagombana na mwanae...ina maana dunia nzima mzuri yeye tu ndiyo hana mapungufu!!! Nataman ningempa ukweli kwenye page yake ila ndiyo doooh achelewi kunianika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi huo ushauri unautoa kwa mange kabisaaaa!! Hapa mimi namhurumia mtoto maana kama ni wazazi tu kakosa.
 
Kwa kweli inabidi nikatubu dhambi baada ya kusoma post za Mange, si kwa matusi yale asee
 
Ngoja wasutane ila wakumbuke kuwa wao ni washauri tu huwezi kumlazimisha mtoto kusomea jambo fulani kufanya hivyo ni kumnyima Uhuru mtoto!!
 
LINDA NAE KAWEKA COMMENT YAKE

MAMA UWA AKIMBIWI MAMA NI MAMA ULIMKIMBIA WAKO NA WEWE UMEKIMBIWA AIBUUUUUUU IT HAS NOTHING TO DO WITH THE DAD. UMALAYA NA KUZURULA NA ROLEX but KWA nadra kanusa nuksi zako nae KASEPA....UNAJIUZA HUKU BOKHE AKIWA BABYSITTER UMALAYA UMEKUPONZA LAITI UNGEKUWA UNAMTUNZA NA KUMPA MAPENZI HATA UNGEKUWA MALAYA WA 24/7. HASINGE KUKIMBIA MATESO YAKO TANGU ULIPO MZAA ULIMTUPA NOW SHE IS ALL GROWN. I used to tell you your daughter missed your love and care at her very mature life which it's the most important yani the first 10 yrs. ulidhani nakuchamba tu LEO KAKUSUTA HUKUMNYONYESHA MAZIWA. " HIYO GUILT INAKUTAFUNA VIPI" ALAFU ULIVO KUWA NA LAANA UMEWEKA ADHARANI UKIZANI UNAMUUMBUWA BABA MTOTO AISEE VIBAO VYA MWENYEZI MUNGU VINAKUTANDIKA UNAROPOKA 24/7 UNAELEZA EVRYTHING MWENYEWE ULIKUWA UNALIPIA GUEST HOUSE UTOMBWE . SABABU HAMNA ALIEKUTAKA IKABIDI ULIPIE ILI UKATOMBWE KI PASSION KIDOGO MANA ULIJIUZA SANA AISEE ANGALAU UPATE PASSIONATE SEX IKABIDI UHONGE SIMU NA KULIPIA GUEST . WAKATI WENZIO TUNAVUNJA NDOA ZA WATU TENA NDOA IMARA NA HUKU TUKIWA TUMEZAA WEWE ULIKUWA KIGOLI HA HA HA HAAAAAA UKAONA BORA UKAJIUZE DUBAI BAADA YA KUMALIZA MABAHALIA KWA 3SOME MPAKA **** ULILAMBA YARK MENO YAMEKUOZA NA SASA UMERUDI KULE KULE DANGURO.COM MALAYA MCHAFU MWENYE NUKSI OOOO WAZUNGU WAZURI TOBAAAAA SO NA UZURI WAO WOTE BUT UMEACHWA NUXI YAKO KIBOKO INANUKA MPAKA ATLANTA KWENYE MA MANSION UNAYOYAOTA UKABAKI KULALA KWENYE NGAZI NA LOBBY.
huyu linda ndyo nani tena
 
Matusi aporomoshayo huko kwenye mitandao ya kijamii ni grounds tosha kabisa za kumnyang'anya custody ya watoto wake.

Kwa sababu kuwa mzazi si kubadilisha tu nepi na kuwapikia wanao chakula.

Mienendo yako pia ina matter.

Anatoa mfano gani sasa kwa wanae anavyokuwa anatukana hivyo kwenye mitandao?

Kwamba kutukana ni sawa tu?

Hebu imagine mama yako wewe angekuwa anatukana matusi kama hayo tena hadharani kweupe kabisa.....ungejisikiaje?

Nawe ukiiga hiyo tabia yake na kuanza tu kutukana kila aina ya mitusi kwa yeyote utayepishana naye kauli, jamii itawaonaje wewe na mama yako?

Mzazi ndo anapaswa kuwa mfano wa kwanza kabisa wa kitabia na maadili kwa wanae. Kwa hilo huyo mdada amefeli kabisa.
Kuwapikia!!! Kuwapikia kwenyewe anapika chakula cha wiki nzima watoto wanalishwa viporo tu eti yuko busy, hivi mange yuko busy na nini zaidi ya matusi.
 
Bora kuzaa umpe amuue yeye kuliko angemtoa akiwa tumboni.alifanya jambo la maana sana.tena wanaume wanaojua kutomboka kutake responsibility hawawezi hiyo ndo dawa yao..nyooo eti mwanamke gani .
I hope yo aint a woman.
 
Humjui frank wewe. ....Mange alimbwaga yule mtoto kwa frank,mtoto akiwa na miezi 3.....frank kamlea mtoto kwa miaka 11,mange kamchukua kukaa nae si chini ya miaka 3....mtoto mwenyewe hana kabisa mapenzi ya mama kwa jinsi mama alivyokuwa anamfanyia na kumtumikisha kama HG. ..na isitoshe frank hakuwa Dj pale clouds bali alikuwa traffic manager,alikuwa yupo safi sana na hata hiyo mimba ni mange ndio alijilengesha maana frank alikuwa anatoka na mariam mnauye kipindi hicho,mange akafanya fitna mpk akatembea na frank ...ngoja niishie hapa maana najua mengi sana ya mange na frank.
traffic manager ndyo kazi gani hii
 
299a24bb5690527bed6e0956cb20d1fe.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom