gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,666
- Thread starter
- #61
Mange hajafanya fair kuanika hayo mambo, hata kama frank ndiyo ameanza angepiga kimya...kujidhalilisha tu mtu gani anagombana na mwanae...ina maana dunia nzima mzuri yeye tu ndiyo hana mapungufu!!! Nataman ningempa ukweli kwenye page yake ila ndiyo doooh achelewi kunianika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora uogope hivyo hivyo yule mwanamke atawachamba hadi babu zako waliokufa enzi za mkoloni bila kusahau kuku na sahani zenu