Mpambano mkali kituo cha Polisi Nzega stendi kati ya Abiria na Polisi

Bus kwenda 80 au 85 ni ku over speed? Agizeni basi Buses zenye speed limit ya 50km ph
Kwa hiyo kwenye kibao cha 50 wewe ukienda 85 au 85 siooverspeed?

Aliyeuroga watanzania yapaswa apewe tuzo ya Nobel!
 
Reactions: ALT
Poleni sana ndugu ALT ,na kongole nyingi zikufikie wewe kwa kuuleta huu uzi hapa na kuwa "expose" hawa wazee wa PGO.
Mungu akubariki sana.
 
Reactions: ALT
Lakini polisi walitakiwa kuwataarifu abiria kuwa dereva amekamatwa kwa makosa ya barabarani hapo ndio shida ilipoanzia
 
Kweli Kosa la polisi lipo hapo. Tatizo wamezoea ubabe tu
Lakini polisi walitakiwa kuwataarifu abiria kuwa dereva amekamatwa kwa makosa ya barabarani hapo ndio shida ilipoanzia
 
Reactions: ALT
niulize, hapo kwenye kulipa faini. Hivi Ni lazima kulipishwa faini ama askari ana option ya kuamua asiandike faini na kukupeleka mahakamani!?
 
Ni utaratibu au si utaratibu?!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, safi sana
 
Kumbe ndo maana mwenyekigoda yupo jela daah ufisadi mkubwa
ohh masikini yani mtu ukiwa na gari wewe ni fisadi 🀣 🀣 🀣

Haya mawazo ya kifukara ndiyo yanakufanya unatukanana na makondakta wa daladala kila kukicha.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚si ndo mawazo yako hayo
ohh masikini yani mtu ukiwa na gari wewe ni fisadi 🀣 🀣 🀣

Haya mawazo ya kifukara ndiyo yanakufanya unatukanana na makondakta wa daladala kila kukicha.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚si ndo mawazo yako hayo
acha mawazo ya kifukara bana umeniaibisha mnoo.

usirudie tena kumuita mtu tajiri eti kisa tu ana gari 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…