Mpambano mkali kituo cha Polisi Nzega stendi kati ya Abiria na Polisi

Mimi sasa hivi natafuta tu connection za wakubwa. Nmeshapata mmoja. Siku polisi wakinidaka watajua hawajui.
 
Lichukue kama case study, take it positive, kuna kitu cha kujifunza hapa. Tuvumiliane.

hakuna kitu hapa,wale jamaa wenye upuuzi shuleni ndio hawa hawa wwamekuwa wababa nowadays.

wamegoma kabisa kubadilika.
 
Hapo unakuta kwenye bus kuna watoto. Askari hawana utu
 
Gaidi Mkuu kuna kazi yako huku
 
Hongera kwa Camera nzuri
 
Mimi ni mwandishi bosi, nina vitabu vinne hadi sasa, nimeanza kuandika nikiwa chuo kikuu mwaka wa kwanza.
I knew.

Some one can easily see/ notice.

Vipo mkuki Ngota? Tukanunue?
 
Huyo fundi from Katesh namfahamu sana, mwanangu sana huyu. Anaitwa Gift Lyimo, dogo yupo vizuri sana. But thanks kwa ushirikiano mzuri, nimeelewa kwanini waziri wao alisemaga police waliosoma vizuri au waliofauru mitihani, hawatakiwi huko, reasoning capacity yao ndio hi yaani. Sasa unamkamata dereva halafu umpeleke Tabora mjini, (kwa faida ya wasio fahamu, from Nzega to Tabora ni +160 km ) imagine, sasa najiuliza, hivi RPC alikua anafikiria abiria wangefikaje Mwanza? Yaani unawaadhibu hadi watu wasiokua na HATIA kwasababu tu wewe umepitwa na basi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…