Mpambe wa Rais Samia apunguze kutabasamu na kucheka

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Simjui hata jina ila huyu mpambe anatakiwa kuwa na sura ya kazi.

Kwenye tuzo za comedy alikuwa akicheja cheka.
Juzi tena kule Tanga ziarani,alionekana akitabasamu baada ya yuke binti kukalia kiti.

Tangunipate fahamu sijawahi kuona mpambe au mlinzi wa Rais akicheka au kutabasamu.

Najua kazi yake sio kumlinda Rais ila kuna mazingira ya dharura yanaweza kutokea akasaidia, sasa kama uko busy kufuatilia matukio badala ya usalama wa boss wako inakuwaje.

Yule bodyguard wa JPM yile black alikuwa kipenzi cha watu maana alikuwa serias sana

Sijuil lakini ,wao wanajua zaidi
 
Unawajua wapambe wangapi wa raisi ???? Kazi na majukumu yao?
 
Hiyo kucheka ilimletea Rais athari gani?
 

Ujinga tu unakusumbua
 
Kwamba akifika level ya magenerali anakuwa senior sana kubeba mkoba wa Rais
Rais hupewa mpambe Col akipanda tu hurudi jeshini kupangiwa kazi ingine.....anzia mpambe wa JK ...Brig Kimaro..alipopanda akatolewa akaenda MMK....yule wa Magu na yeye alipanda akatolewa akapewa mpya....ukiwa Brig lazimautokee ni General nyota 1 hutakiwi umlinde Rais ....anatakiwa apewe majukumu ya General....
 
GENTAMYCINE muona mbali nilipomsema hapa hapa JamiiForums mwaka huu si mliniona sijui na labda nina Chuki nae?
 
Nyamburi Mashauri

Huyu ni mbeba mikoba, mabunda ya noti za sarafu zote kubwa duniani ikiwemo Tshs. na makabrasha n.k ya mheshimiwa rais siyo bodyguard / mlinzi wa rais.

Yaani ADC (aide-de-camp) is a personal assistant or secretary to a person of high rank like the president etc, usually a senior military, police or government officer.
 
Kuna video hujaona wewe mpaka ma bodyguard sikuhiyo walikuwa wanacheka!, kuna mtandao fulani si nikakomenti "Mbona ma bodyguard wanacheka!" nikajibiwa "Kwani wao hawana bandama!".
Nikaondoka sikutaka mambo mengi nawalimwengu!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…