Simjui hata jina ila huyu mpambe anatakiwa kuwa na sura ya kazi.
Kwenye tuzo za comedy alikuwa akicheja cheka. Palikuwa mahali pa kucheka na mzaha pia.
Juzi tena kule Tanga ziarani,alionekana akitabasamu baada ya yuke binti kukalia kiti.
Tangunipate fahamu sijawahi kuona mpambe au mlinzi wa Rais akicheka au kutabasamu. Una uhakika?...
Najua kazi yake sio kumlinda Rais ila kuna mazingira ya dharura yanaweza kutokea akasaidia, sasa kama uko busy kufuatilia matukio badala ya usalama wa boss wako inakuwaje. Mpambe hahusiki na masuala ya kiulinzi, walinzi wapo.
Yule bodyguard wa JPM yile black alikuwa kipenzi cha watu maana alikuwa serias sana. yule alikuwa MLINZI sio Mpambe
Sijuil lakini ,wao wanajua zaidi