Mpambe wa Rais Samia apunguze kutabasamu na kucheka

Mpambe wa Rais Samia apunguze kutabasamu na kucheka

Kuna nature ya kazi kuchekacheka sio,
Mkuu mpaka yupo pale ameiva acha gubu, so kama umeona anacheka cheka jichanganye kwenye kumi na nane zake ,achana akiwa kazini , bali kwenye makazi yake binafsi alafu leta mrejesho.

Atakufuga na kazi yako iwe nikulisha kuku , kwa siku 14 ,
 
Simjui hata jina ila huyu mpambe anatakiwa kuwa na sura ya kazi.

Kwenye tuzo za comedy alikuwa akicheja cheka.
Juzi tena kule Tanga ziarani,alionekana akitabasamu baada ya yuke binti kukalia kiti.

Tangunipate fahamu sijawahi kuona mpambe au mlinzi wa Rais akicheka au kutabasamu.

Najua kazi yake sio kumlinda Rais ila kuna mazingira ya dharura yanaweza kutokea akasaidia, sasa kama uko busy kufuatilia matukio badala ya usalama wa boss wako inakuwaje.

Yule bodyguard wa JPM yile black alikuwa kipenzi cha watu maana alikuwa serias sana

Sijuil lakini ,wao wanajua zaidi
Kwani kucheka dada ni dhambi ? Au unataka atolewe ili uwe wewe. Maana ushaanza majungu
 
Huyo anavutiwa muda tu 1 yr kuwa na brigade then CV inakaa sawa anakuwa accelerated to major general hapo by 2028 anakuwa cdf
Wabadilishe hizo sheria ,kwangu mimi hata JENERALI anaweza kubeba mkoba wa Rais na kuwa mpambe wa Rais kwani hakuna cheo kikubwa zaidi ya URAIS wenyewe.....

Nadhani itafika kipindi kutakuwa na mabadiliko ya hizi "STATUS QUO".....

#JMT milele dumu !!
 
Back
Top Bottom