Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ufala umeshasema alikuo kwenye tuzo za COMEDY so ulitaka awe analia?Simjui hata jina ila huyu mpambe anatakiwa kuwa na sura ya kazi.
Kwenye tuzo za comedy alikuwa akicheja cheka.
Juzi tena kule Tanga ziarani,alionekana akitabasamu baada ya yuke binti kukalia kiti.
Tangunipate fahamu sijawahi kuona mpambe au mlinzi wa Rais akicheka au kutabasamu.
Najua kazi yake sio kumlinda Rais ila kuna mazingira ya dharura yanaweza kutokea akasaidia, sasa kama uko busy kufuatilia matukio badala ya usalama wa boss wako inakuwaje.
Yule bodyguard wa JPM yile black alikuwa kipenzi cha watu maana alikuwa serias sana
Sijuil lakini ,wao wanajua zaidi
unauliza mkuun_ wakat umeshika mkiaKwa hiyo akienda msibani rais akilia na yeye alie pumbavu kabisa weww
Naye ni Binadamu ana hisia kama wewe.Simjui hata jina ila huyu mpambe anatakiwa kuwa na sura ya kazi.
Kwenye tuzo za comedy alikuwa akicheja cheka.
Juzi tena kule Tanga ziarani,alionekana akitabasamu baada ya yuke binti kukalia kiti.
Tangunipate fahamu sijawahi kuona mpambe au mlinzi wa Rais akicheka au kutabasamu.
Najua kazi yake sio kumlinda Rais ila kuna mazingira ya dharura yanaweza kutokea akasaidia, sasa kama uko busy kufuatilia matukio badala ya usalama wa boss wako inakuwaje.
Yule bodyguard wa JPM yile black alikuwa kipenzi cha watu maana alikuwa serias sana
Sijuil lakini ,wao wanajua zaidi
Kuchekacheka means akili yake iko interested na vichekesho vilivyo around boss wake, badala ya akili kuwa interested na usalama wa boss wake!Kwahiyo sifa ya ujasiri na uwezo ni kununa,
Ogopa sana mtu anaecheka na kuonesha tabasamu muda wote anakupiga bisu la tumbo huku anakuchekea usoni adi unakata roho picha utayokufa nayo ni tabasamu lake.
Nasisitiza piaBila picha ni sawa na pilau bila kachumbari anyway tuache kuishi kwa mazoea
Unataka kumwaribia dada wa watu kazi.Utapata faida gani?Simjui hata jina ila huyu mpambe anatakiwa kuwa na sura ya kazi.
Kwenye tuzo za comedy alikuwa akicheja cheka.
Juzi tena kule Tanga ziarani,alionekana akitabasamu baada ya yuke binti kukalia kiti.
Tangunipate fahamu sijawahi kuona mpambe au mlinzi wa Rais akicheka au kutabasamu.
Najua kazi yake sio kumlinda Rais ila kuna mazingira ya dharura yanaweza kutokea akasaidia, sasa kama uko busy kufuatilia matukio badala ya usalama wa boss wako inakuwaje.
Yule bodyguard wa JPM yile black alikuwa kipenzi cha watu maana alikuwa serias sana
Sijuil lakini ,wao wanajua zaidi
Unasumbuliwa na Usukama gang, amka Jiwe meshauliwa na MunguSimjui hata jina ila huyu mpambe anatakiwa kuwa na sura ya kazi.

Huu uzi umekaa kifitna sana na dhumuni ni dada wa watu atolewe da wanadamu bwanaSimjui hata jina ila huyu mpambe anatakiwa kuwa na sura ya kazi.
Kwenye tuzo za comedy alikuwa akicheja cheka.
Juzi tena kule Tanga ziarani,alionekana akitabasamu baada ya yuke binti kukalia kiti.
Tangunipate fahamu sijawahi kuona mpambe au mlinzi wa Rais akicheka au kutabasamu.
Najua kazi yake sio kumlinda Rais ila kuna mazingira ya dharura yanaweza kutokea akasaidia, sasa kama uko busy kufuatilia matukio badala ya usalama wa boss wako inakuwaje.
Yule bodyguard wa JPM yile black alikuwa kipenzi cha watu maana alikuwa serias sana
Sijuil lakini ,wao wanajua zaidi
Kumbe bodyguard wa raisi anaulaji wa maana, posho zinakuwa nyingi sana au ni mpaka mshahara nao ni mnonoSio rahisi,ameshapangiwa majukumu mengine,sema atakuwa alilia sana kukatishwa ulaji na kifocha bosi wake
Ni ngumu sana kumuona Jaji au hakimu akicheka wakati mtuhumiwa anatoa ushahidi mahakamani . Kucheka kwake hakimu au Jaji kunam-athiri anayendeelea kutoa ushahidi maana anaweza ona kama anachoeleza kinaonekana kama kituko mbele za watu na mahakaman.Anaitwa Nyamburi Mashauri. Hata hivyo ni binadamu kama wengine ambaye ana hisia. Hawezi kujitesa kuchekea tumboni wakati wengine tunafurahi wazi.
Hivi kutambua majukum yako ni mpaka uwe na sura ya Mbuzi, kuna watu daily ni tabasam ila cheza kwenye kumi nane zao ndo utajua hujui, mfano kikwete atacheka kama mpo pamoja ila sasa jaribu kuyakanyagaSimjui hata jina ila huyu mpambe anatakiwa kuwa na sura ya kazi.
Kwenye tuzo za comedy alikuwa akicheja cheka.
Juzi tena kule Tanga ziarani,alionekana akitabasamu baada ya yuke binti kukalia kiti.
Tangunipate fahamu sijawahi kuona mpambe au mlinzi wa Rais akicheka au kutabasamu.
Najua kazi yake sio kumlinda Rais ila kuna mazingira ya dharura yanaweza kutokea akasaidia, sasa kama uko busy kufuatilia matukio badala ya usalama wa boss wako inakuwaje.
Yule bodyguard wa JPM yile black alikuwa kipenzi cha watu maana alikuwa serias sana
Sijuil lakini ,wao wanajua zaidi
Kuna nature ya kazi kuchekacheka sio,Hivi kutambua majukum yako ni mpaka uwe na sura ya Mbuzi, kuna watu daily ni tabasam ila cheza kwenye kumi nane zao ndo utajua hujui, mfano kikwete atacheka kama mpo pamoja ila sasa jaribu kuyakanyaga