Mpambe wa Rais Samia apunguze kutabasamu na kucheka

Unayoyasema ni sahihi, ila ukiukwaji wa Katiba uliofanywa na Rais wa Zanzibar kumpandisha ADC wake na kuwa Col ndicho kinasababisha ADC wa Samia sasa kuwa Brig
 
Mkuu....
 
Mijitu mingine mna roho za kishetani na uchawi sana. Sasa akitabasamu wewe inakupunguzia Nini? Wivu tu na roho mbaya ndio vinakutesa na kukusumbua wewe.
 
Swali zuri sanaa....nadhani ni commonwealth protocal....za kijeshi...kwamba Rais...anakuwa na Col wa Jeshi....
Zbara wake sina hakika kama ni full Col....kama wamempandisha anataka na yeye aheshimike kama Rais...Kamili..nadhani huwa Lt Col
 
Nadhani yule bodigadi mweusi wa rais magufuli akiwa peke yake ndio anaanza kucheka maneno ya boss wake hivi unaachaje kucheka mtu anaambiwa qbaki na mavi yake magetoni
Yule mwamba alikuwa anacheka tumboni
 
Swali zuri sanaa....nadhani ni commonwealth protocal....za kijeshi...kwamba Rais...anakuwa na Col wa Jeshi....
Mkuu, alafu kwanini Rais akiwa nje ya nchi ADC wa nchi husika ndiye anayekaa nyuma yake na sio huyu wa Tanzania?? Au ni protocol pia??
 
Acha afurahi maana Samia mwenyewe alipewa tuzo ya Super Comedian.

Mpambe anaona aibu nchi inavyopelekwa kila siku anahudhuria tafrija za ajabu ajabu ambazo kwa level ya rais hakupaswa kuhudhuria hivyo anaishia kucheka kulinda mfuko wake.
 
Mwacheni dada wa watu acheke.

Maisha yenyewe ndio haya haya.

Mfano mimi nimepanga leo ni siku ya kucheka tu mpaka asubuhi ya kesho.
Basi washauri wanaotufokea na kutulisha matango pori,Luca,choice,Tlaatlah na genge lao japo wakae wafanye mapitio ya matango pori wanayoturushia humu,kisa watenge siku ya tathimini kujikagua na kujipanga kwa matango pori mapya angalao yenye kuchekesha na sii ya kutufokea tu.
 
Kuna dawa fulani ya kimasai ya kula na nyama, akipata atakuwa serious sana na hakuna kucheka cheka
 
Kwamba huju
Kwamba hujui kama kucheka ni dawa??
 
Kwahiyo sifa ya ujasiri na uwezo ni kununa,
Ogopa sana mtu anaecheka na kuonesha tabasamu muda wote anakupiga bisu la tumbo huku anakuchekea usoni adi unakata roho picha utayokufa nayo ni tabasamu lake.
 
Hayo mazuzu hata muda wa kufanya tafakari yanao sasa, maana ni yanarushiwa vitu vya kupost kwenye magroup yao ya WhatsApp halafu ndio wanakuja kupost humu halafu wanapiga screenshot zinapelekewa kwa mhasibu wa kulipa machawa ndio hizo buku 7 zinatolewa na hiyo inapply katika mitandao yote.

Nakumbuka mwaka jana kuna post walipewa ilikuwa na makosa mengi ya kiuandishi yakaibeba jinsi ilivyo yakabandika mitandaoni na zinapishana dakika tu halafu post moja yenye makosa yale yale.
 
Hilo nalo litazingatiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…