4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Mkuu mpaka yupo pale ameiva acha gubu, so kama umeona anacheka cheka jichanganye kwenye kumi na nane zake ,achana akiwa kazini , bali kwenye makazi yake binafsi alafu leta mrejesho.Kuna nature ya kazi kuchekacheka sio,
Kwani kucheka dada ni dhambi ? Au unataka atolewe ili uwe wewe. Maana ushaanza majunguSimjui hata jina ila huyu mpambe anatakiwa kuwa na sura ya kazi.
Kwenye tuzo za comedy alikuwa akicheja cheka.
Juzi tena kule Tanga ziarani,alionekana akitabasamu baada ya yuke binti kukalia kiti.
Tangunipate fahamu sijawahi kuona mpambe au mlinzi wa Rais akicheka au kutabasamu.
Najua kazi yake sio kumlinda Rais ila kuna mazingira ya dharura yanaweza kutokea akasaidia, sasa kama uko busy kufuatilia matukio badala ya usalama wa boss wako inakuwaje.
Yule bodyguard wa JPM yile black alikuwa kipenzi cha watu maana alikuwa serias sana
Sijuil lakini ,wao wanajua zaidi
Maybe someday in the futureWanakula sana,kwanza wanajua siri binafsi za rais,posho za safari,mishahara,status nk ni kazi nyeti sana hiyo
Wabadilishe hizo sheria ,kwangu mimi hata JENERALI anaweza kubeba mkoba wa Rais na kuwa mpambe wa Rais kwani hakuna cheo kikubwa zaidi ya URAIS wenyewe.....Huyo anavutiwa muda tu 1 yr kuwa na brigade then CV inakaa sawa anakuwa accelerated to major general hapo by 2028 anakuwa cdf