Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,590
- 4,244
Kama hiyo pesa ipo kwenye mkataba na yeye alisaini ni kweli ako na makosa ila kama ni makubalino ya mdomoni tu hilo litakua ni jambo lingine.Nyu
Hayo ndio mambo ya Kiswahili. Uungwana maana yake nini? Nyumba akisha toka mpangaji anayekuja anataka nyumba ipakwe rangi na masink ya jikoni na makabati yatengenezwe!! Sasa hizo gharama za matengenezo kwanini zibebwe na landlord wakati mpangaji ndiye aliyehusika?
Kama hautaki mambo yawe mengi na wewe ni mfanya biashara unaweza kurudisha hiyo pesa ili uendelee na biashara zako, maana mnapotezeana muda tu hapo.
Vinginevyo nenda kwenye chama cha wapangishaji uone wanakushauri vipi kwa kesi kama hiyo.