Mpangaji agoma kuhama baada ya mkataba kuisha. Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?

Daaah tutafute pesa jamn tunaamishwa hatujui tunapenda wapi ghafla tuuh
 
Baadhi ya wapangaji huenda kwa waganga ili kumzubaisha mwenye nyumba, hili nalo mlijue! /
 
Baadhi ya wapangaji ni Pasua kichwa,umejifunza jambo na kosa ni lake alisaini mkataba wa Nini,Cha kufanya mwambie Hela ya matengenezo imeingizwq kwny Kodi Toa vitu vyako uondoke.Achana naye
 
Ila kuthibitisha kuwa kauza shamba siyo kuthibitishia mahakama kuwa fedha alizopata baada ya kuuza shamba alizihifadhi mle ndani na pia siyo kuthibitishia mahakama kuwa aliyezichukua ni mwenye nyumba.
 
Hili limekutoka moyoni kabisa mdada wangu
 
Muozeshe kijana wako huyo single maza
 
Ila kuthibitisha kuwa kauza shamba siyo kuthibitishia mahakama kuwa fedha alizopata baada ya kuuza shamba alizihifadhi mle ndani na pia siyo kuthibitishia mahakama kuwa aliyezichukua ni mwenye nyumba.
Ni ndani kwake anaruhusiwa kuhifadhi chochote,kwa nini isiwezekane kuwa alihifadhi pesa ndani?hakimu atakayeuliza maswali ya aina hiyo itakuwa anapendelea upande mmoja na wakati hakimu anatakiwa kuwa neutral,pande zote zina haki ya kusikilizwa.
Umeshavunja mlango na kuingia ndani kwangu huna haki ya kunibishia kuwa hapakuwa na pesa,mimi ndio napajua zaidi.
 
Utasemaje ni kwako wakati mkataba wako umekwisha? Kuendelea kukaa hapo ni tresspassing which is a criminal offense!
Sasa matapeli wako mjini kwa kutaka kupata fedha kwa ujanja ujanja ndio wanaweka hiyo mitego kuwa wakitolewa mizigo waende polisi kushitaki kuwa walikuwa na fedha ndani ya nyumba zimepotea wakati wa kutoa mizigo!
Huu ujanja unatumiwa sana na wanawake wahuni wanaukwenda Dubai au China kujiuza!
Ni vyema wenye nyumba kujitahidi kuwajua vizuri wapangaji wao ; ukimpangisha Muuza NGADA akikamatwa wewe mwenye nyumba utapata msuko suko!’
 
Single mother,kafungia vitu chumbani. Ulijua mkeo eh?! Koma. Ilichokitafuta,umepata. Bora ungeenda kununua vijiweni
 
Ulimpa notice ya miezi mingapi?
 
Single mother,kafungia vitu chumbani. Ulijua mkeo eh?! Koma. Ilichokitafuta,umepata. Bora ungeenda kununua vijiweni
Nyie ndio ambao mnatumia papuchi zenu kama ndio kodi ya nyumba!! Sio kila mwenye nyumba anaendeleza upuuzi wenu huo.
 
Deposit ilikuwa ya nini,kimsingi serikali imeshindwa kuwalinda wapangaji katika eneo hili na ndo maana mnaanzishaga vicharge uchwara ili mpige pesa,ngoja akunyooshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…