Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kuthibitisha kuwa kauza shamba siyo kuthibitishia mahakama kuwa fedha alizopata baada ya kuuza shamba alizihifadhi mle ndani na pia siyo kuthibitishia mahakama kuwa aliyezichukua ni mwenye nyumba.Kitu kingine cha kuongezea hapo kwenye jibu la swali lako,kwa mfano mpangaji aking'ang'ania kwamba ana uhakika kweli aliacha milioni 20 ndani ya nyumba yake hakimu au wakili wa mwenye nyumba anaweza akamuuliza swali mpangaji swali hili hapa ili kujiridhisha zaidi.
"Je unaweza ukatuthibitishia kwamba kweli ulikuwa unamiliki kiasi hicho cha pesa?"
Mpangaji:Ndio,niliuza shamba langu kijijini kwetu mwezi uliopita kisha fedha nikazihifadhi ndani.
Sasa kama amekukamia hizo documents za kuonyesha kweli aliuza shamba ni rahisi tu kuzipata na wanunuzi feki watapatikana ili akunyooshe.
Wenye nyumba basi mjue hata hao wapangaji wanatafuta.
Yaani amelipa kodi, amelipa dalali, eti na hela ya mwezi mmoja ya security.
Mpe hela yake hiyo uliyokaa nayo ya security, huo mwezi mmoja aliokaa bure hesabia ni notice.
Hivi mkifa mtaondoka na hizo nyumba ? Muwe na imani pia.
Usifikirie sina nyumba za kupangisha, sawa eeh.
Wana BODI naomba ushauri. Wapangaji wangu wote naingia nao mkataba wa miezi sita. Ambao ni renewable .
Katika mkataba kuna kipengele cha security deposit Sawa na kodi ya mwezi ambayo hutumika kutengeneza nyumba mkataba ukiisha.
Mpangaji wangu mmoja single mother mkataba wake ulikwisha mwezi January mwaka huu lakini amegoma kuhama akidai arudishiwe deposit yake ndio ahame kabla nyumba haijakaguliwa ; lakini amekwisha kaa hiyo nyumba mwaka mmoja na nusu na nyumba inahitajika matengenezo.
Amegoma kuondoka na sasa amefunga nyumba na kuacha vitu vyake ndani na kutoweka na funguo!
Ameisha kaa zaidi ya mwezi bila kulipa kodi na hata bill ya maji hajalipa! Nimekwenda serikali ya mtaa kutoa taarifa nao hawana msaada.
Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?
Ni ndani kwake anaruhusiwa kuhifadhi chochote,kwa nini isiwezekane kuwa alihifadhi pesa ndani?hakimu atakayeuliza maswali ya aina hiyo itakuwa anapendelea upande mmoja na wakati hakimu anatakiwa kuwa neutral,pande zote zina haki ya kusikilizwa.Ila kuthibitisha kuwa kauza shamba siyo kuthibitishia mahakama kuwa fedha alizopata baada ya kuuza shamba alizihifadhi mle ndani na pia siyo kuthibitishia mahakama kuwa aliyezichukua ni mwenye nyumba.
Hilo nalo neno!! Wenye nyumba nao Sio mabwege, hayo mambo wanayajua hivyo hujizatiti.Baadhi ya wapangaji huenda kwa waganga ili kumzubaisha mwenye nyumba, hili nalo mlijue! /
Utasemaje ni kwako wakati mkataba wako umekwisha? Kuendelea kukaa hapo ni tresspassing which is a criminal offense!Ni ndani kwake anaruhusiwa kuhifadhi chochote,kwa nini isiwezekane kuwa alihifadhi pesa ndani?hakimu atakayeuliza maswali ya aina hiyo itakuwa anapendelea upande mmoja na wakati hakimu anatakiwa kuwa neutral,pande zote zina haki ya kusikilizwa.
Umeshavunja mlango na kuingia ndani kwangu huna haki ya kunibishia kuwa hapakuwa na pesa,mimi ndio napajua zaidi.
Ulimpa notice ya miezi mingapi?Utasemaje ni kwako wakati mkataba wako umekwisha? Kuendelea kukaa hapo ni tresspassing which is a criminal offense!
Sasa matapeli wako mjini kwa kutaka kupata fedha kwa ujanja ujanja ndio wanaweka hiyo mitego kuwa wakitolewa mizigo waende polisi kushitaki kuwa walikuwa na fedha ndani ya nyumba zimepotea wakati wa kutoa mizigo!
Huu ujanja unatumiwa sana na wanawake wahuni wanaukwenda Dubai au China kujiuza!
Ni vyema wenye nyumba kujitahidi kuwajua vizuri wapangaji wao ; ukimpangisha Muuza NGADA akikamatwa wewe mwenye nyumba utapata msuko suko!’
Mwanamke mwenyewe ni malaya hawezi kuwa mkwe wanguMuozeshe kijana wako huyo single maza
Miezi mitatu!Ulimpa notice ya miezi mingapi?
Nyie ndio ambao mnatumia papuchi zenu kama ndio kodi ya nyumba!! Sio kila mwenye nyumba anaendeleza upuuzi wenu huo.Single mother,kafungia vitu chumbani. Ulijua mkeo eh?! Koma. Ilichokitafuta,umepata. Bora ungeenda kununua vijiweni
Deposit ilikuwa ya nini,kimsingi serikali imeshindwa kuwalinda wapangaji katika eneo hili na ndo maana mnaanzishaga vicharge uchwara ili mpige pesa,ngoja akunyoosheWana BODI naomba ushauri. Wapangaji wangu wote naingia nao mkataba wa miezi sita. Ambao ni renewable .
Katika mkataba kuna kipengele cha security deposit Sawa na kodi ya mwezi ambayo hutumika kutengeneza nyumba mkataba ukiisha.
Mpangaji wangu mmoja single mother mkataba wake ulikwisha mwezi January mwaka huu lakini amegoma kuhama akidai arudishiwe deposit yake ndio ahame kabla nyumba haijakaguliwa ; lakini amekwisha kaa hiyo nyumba mwaka mmoja na nusu na nyumba inahitajika matengenezo.
Amegoma kuondoka na sasa amefunga nyumba na kuacha vitu vyake ndani na kutoweka na funguo!
Ameisha kaa zaidi ya mwezi bila kulipa kodi na hata bill ya maji hajalipa! Nimekwenda serikali ya mtaa kutoa taarifa nao hawana msaada.
Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?