ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Jamaa punguani kweli huyoWenye nyumba basi mjue hata hao wapangaji wanatafuta.
Yaani amelipa kodi, amelipa dalali, eti na hela ya mwezi mmoja ya security.
Mpe hela yake hiyo uliyokaa nayo ya security, huo mwezi mmoja aliokaa bure hesabia ni notice.
Hivi mkifa mtaondoka na hizo nyumba ? Muwe na imani pia.
Usifikirie sina nyumba za kupangisha, sawa eeh.