- Thread starter
- #81
Hulazimishwi, tafuta nyumba ya size yako!Sio nyumba tu ongeza na frame ila hiyo rohoo ya tamaa sinaa bwana mkubwa jirekebishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hulazimishwi, tafuta nyumba ya size yako!Sio nyumba tu ongeza na frame ila hiyo rohoo ya tamaa sinaa bwana mkubwa jirekebishe
Unaongea kihisia mwenzako naongea kiuzoefu kwa sababu nilishawahi kushuhudia.Atathibisha vipi kuwa kaibiwa? hizo hela wakati mashahidi walikuwepo wakati vyombo vinatolewa?
Kuna muda wa notisi,mpangaji huwa hafukuzwi kama anavyofukuzwa mnyama kuna taratibu zakeSio kweli. Kodi ikiisha wewe ni mvamizi kwenye eneo la mtu: kwa kifupi huna haki katika eneo hilo.
Mpe hela yako akatafute chumba na akipata, mpe hela ya kusafirishia vyombo vyake kwenda kwenye makazi yake mapya, akigoma hapo ujue anatembea na mkeo.Wana BODI naomba ushauri. Wapangaji wangu wote naingia nao mkataba wa miezi sita. Ambao ni renewable .
Katika mkataba kuna kipengele cha security deposit Sawa na kodi ya mwezi ambayo hutumika kutengeneza nyumba mkataba ukiisha.
Mpangaji wangu mmoja single mother mkataba wake ulikwisha mwezi January mwaka huu lakini amegoma kuhama akidai arudishiwe deposit yake ndio ahame kabla nyumba haijakaguliwa ; lakini amekwisha kaa hiyo nyumba mwaka mmoja na nusu na nyumba inahitajika matengenezo.
Amegoma kuondoka na sasa amefunga nyumba na kuacha vitu vyake ndani na kutoweka na funguo!
Ameisha kaa zaidi ya mwezi bila kulipa kodi na hata bill ya maji hajalipa! Nimekwenda serikali ya mtaa kutoa taarifa nao hawana msaada.
Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?
Sema na wewe unakejeli mno, una shida mahali, mara unamuita single mother, mara hapa unasema mbangaizaji..Aisee wewe si unapaswa kujali pesa yako tu, hayo mengine mapungufu ya mtu yanahusu nini??Unafikir na wewe ungekuwa zipo za kutosha ungekuwa unampigia kelele mpangaji kisa hajalipa miezi mitatu???Ungekuwa landlord ungeelewa mapungufu ya wapangaji ; sio wote!!! Shida iko kwa wabangaizaji 🤷🏻♂️🤷🏻♂️
Hata mimi nimemshangaa hiyo kodi anayolipwa ni ya kazi gani?Deposit ya nyokweeee 😀 😀 😀 yani utapeli kila kona alafu huyu unakuta ni mbaba mtu mzima ila tamaa za hela na kukosa utu kumemjaaa sasa hizo kodi unazolipwa haitoshi kufanya ukarabati mpangaji akitoka au mpya akiingia??ukarabati gani huo au unakuwa unajenga upya??
Huyo jamaa ni aina fulani ya wenye nyumba wanaopenda kuvimba yaani anyenyekewe muda wote kisa ana nyumba as if mpangaji anakaa bure,ni aina ya watu wanaodhani kila mtu aliyepanga ni maskini.Sema na wewe unakejeli mno, una shida mahali, mara unamuita single mother, mara hapa unasema mbangaizaji..Aisee wewe si unapaswa kujali pesa yako tu, hayo mengine mapungufu ya mtu yanahusu nini??Unafikir na wewe ungekuwa zipo za kutosha ungekuwa unampigia kelele mpangaji kisa hajalipa miezi mitatu???
Mtu kaingia hata miaka miwili hana tayari unafanya ukaratabati??Hii kama sio mtafutano ni nini aisee au kuna kitu ulirequest - access ikawa denied..ndo unataka kutumia umwamba??
MamndenyiWenye nyumba basi mjue hata hao wapangaji wanatafuta.
Yaani amelipa kodi, amelipa dalali, eti na hela ya mwezi mmoja ya security.
Mpe hela yake hiyo uliyokaa nayo ya security, huo mwezi mmoja aliokaa bure hesabia ni notice.
Hivi mkifa mtaondoka na hizo nyumba ? Muwe na imani pia.
Usifikirie sina nyumba za kupangisha, sawa eeh.
Unajua wafanyabiashara wanaokwenda Dubai na China wanakata miezi mitatu huko alafu wanarudi na mzigo? Unafikiri wanakwenda kufanya biashara gani? Ni hatari kuomba access kwa watu kama hao🤷🏻♂️Sema na wewe unakejeli mno, una shida mahali, mara unamuita single mother, mara hapa unasema mbangaizaji..Aisee wewe si unapaswa kujali pesa yako tu, hayo mengine mapungufu ya mtu yanahusu nini??Unafikir na wewe ungekuwa zipo za kutosha ungekuwa unampigia kelele mpangaji kisa hajalipa miezi mitatu???
Mtu kaingia hata miaka miwili hana tayari unafanya ukaratabati??Hii kama sio mtafutano ni nini aisee au kuna kitu ulirequest - access ikawa denied..ndo unataka kutumia umwamba??
Tafuta Njagu mpange mum bambike kesi ya kuhifadhi bange nyumbani kwakoWana BODI naomba ushauri. Wapangaji wangu wote naingia nao mkataba wa miezi sita. Ambao ni renewable .
Katika mkataba kuna kipengele cha security deposit Sawa na kodi ya mwezi ambayo hutumika kutengeneza nyumba mkataba ukiisha.
Mpangaji wangu mmoja single mother mkataba wake ulikwisha mwezi January mwaka huu lakini amegoma kuhama akidai arudishiwe deposit yake ndio ahame kabla nyumba haijakaguliwa ; lakini amekwisha kaa hiyo nyumba mwaka mmoja na nusu na nyumba inahitajika matengenezo.
Amegoma kuondoka na sasa amefunga nyumba na kuacha vitu vyake ndani na kutoweka na funguo!
Ameisha kaa zaidi ya mwezi bila kulipa kodi na hata bill ya maji hajalipa! Nimekwenda serikali ya mtaa kutoa taarifa nao hawana msaada.
Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?
Sasa mkuu alikishtakiwa kwa Wizi na huyo mpangaji?Ondoa mabati mpangaji atakimbia mwenyewe.
Hiyo security deposit ilitakiwa kama mpangaji haja fanya uharibifu arudishiwe mpangaji, ila kama mpangaji kafanya uharibifu wa Vitasa, mlango au Dirisha kumtaka inakua sahii.Hicho kipengele cha security deposit ya mwezi mmoja ni cha kinyonyaji kwa mpangaji. Inaweza kuwa fair endapo kuna kitu tangible mpangaji ameharibu, akikatwa ni sawa, ila kama hakijaharibika kitu, ni rangi na vitu vya kawaida, huo mkataba ni wa kinyonyaji.
Kwa hiyo kodi unayopewa haihusiki na matengenezo ya nyumba yako?
Mtupie jiniWana BODI naomba ushauri. Wapangaji wangu wote naingia nao mkataba wa miezi sita. Ambao ni renewable .