Mpangaji agoma kuhama baada ya mkataba kuisha. Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?

Mpangaji agoma kuhama baada ya mkataba kuisha. Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?

Nyu

Hayo ndio mambo ya Kiswahili. Uungwana maana yake nini? Nyumba akisha toka mpangaji anayekuja anataka nyumba ipakwe rangi na masink ya jikoni na makabati yatengenezwe!! Sasa hizo gharama za matengenezo kwanini zibebwe na landlord wakati mpangaji ndiye aliyehusika?
Vitu vikubwa kama koki na masinki yakiharibika ntatengeneza ila rangi sifanyi huo usengerema kodi nilikuwa nalipa ya nn kama ni kuirudisha nyumba kama ilivyokuwa
 
Deposit ilikuwa ya nini,kimsingi serikali imeshindwa kuwalinda wapangaji katika eneo hili na ndo maana mnaanzishaga vicharge uchwara ili mpige pesa,ngoja akunyooshe
Hapa mpangaji na mwenye nyumba wa naingia mkataba ambao unamlinda mwenye nyumba na mpangaji na ndio maana una hakikiwa kwa mwanasheria kuepuka mambo ya Kiswahili!!
Hulazimishwi kupanga nyumba ya mtu lakini ukisha saini mkataba maana yake umekubali terms and conditions za pango! Huwezi baada ya mkataba kwisha useme sikubaliani na mkataba.
 
Vitu vikubwa kama koki na masinki yakiharibika ntatengeneza ila rangi sifanyi huo usengerema kodi nilikuwa nalipa ya nn kama ni kuirudisha nyumba kama ilivyokuwa
Wewe shoga hiyo misumali unayopachika picha za waume zako haziharibu kuta? Watoto nao wanachora chora kuta huo sio uharibifu?
Kama Hukubariani na terms za mwenye nyumba si una Piga lapa unakwenda kwimgine kwanini usaini mkataba?
 
Wana BODI naomba ushauri. Wapangaji wangu wote naingia nao mkataba wa miezi sita. Ambao ni renewable .

Katika mkataba kuna kipengele cha security deposit Sawa na kodi ya mwezi ambayo hutumika kutengeneza nyumba mkataba ukiisha.

Mpangaji wangu mmoja single mother mkataba wake ulikwisha mwezi January mwaka huu lakini amegoma kuhama akidai arudishiwe deposit yake ndio ahame kabla nyumba haijakaguliwa ; lakini amekwisha kaa hiyo nyumba mwaka mmoja na nusu na nyumba inahitajika matengenezo.

Amegoma kuondoka na sasa amefunga nyumba na kuacha vitu vyake ndani na kutoweka na funguo!

Ameisha kaa zaidi ya mwezi bila kulipa kodi na hata bill ya maji hajalipa! Nimekwenda serikali ya mtaa kutoa taarifa nao hawana msaada.

Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?
Fuata sheria
 
Mpangaji Apishe Nyumba Ya Watu Maisha Yaendelee Wakati Mwingine Kuna Mengi Sana
 
Miezi mitatu!
Haya mlipe pesa yake aende,kuwa mwenye nyumba sio sababu ya kujiamulia mambo utakavyo wewe kumbuka hapo unadili na watu wazima wenzako.
Wewe kama kweli lengo lako ni ukarabati wa nyumba ilitakiwa kwenye mkataba wako uandike hivi;
"Mpangaji atawajibika kukarabati endapo amefanya uharibifu" lakini sio kukusanya pesa ya mwezi mmoja.
Hivi tuchukulie kwa mfano kodi ya mwezi mmoja ni laki 2 halafu mpangaji akavunja kitasa,kutengeneza kitasa ni elfu 20 tu huoni kwamba hapa ulikuwa unawarubuni tu ili ule pesa zao
 
Ndio mana siaminigi katika biashara ya upangishaji.
Yani unajenga nyumba yako kwa let say 20m unakuja pangisha kwa 200k kwa mwezi!
Aki ya nani ritani ya uwekezaji ni ndogo mno.
 
Hayo yote unayosema yako kwenye mkataba uliotayalishwa na mwanasheria ili kumlinda mwenye nyumba na mpangaji!
Tatizo Nadhani mpangaji hakuelewa mkataba na kutia saini tu kama wafanyavyo ma afisa wa Samia!!
Katika mambo ya mikataba your ignorance is no excuse!!
 
Ndio mana siaminigi katika biashara ya upangishaji.
Yani unajenga nyumba yako kwa let say 20m unakuja pangisha kwa 200k kwa mwezi!
Aki ya nani ritani ya uwekezaji ni ndogo mno.
Pesa ambayo angenunua Bondi angekuwa safe zaidi na kuwa very healthy
 
Hayo yote unayosema yako kwenye mkataba uliotayalishwa na mwanasheria ili kumlinda mwenye nyumba na mpangaji!
Tatizo Nadhani mpangaji hakuelewa mkataba na kutia saini tu kama wafanyavyo ma afisa wa Samia!!
Katika mambo ya mikataba your ignorance is no excuse!!
Kwenye huo mkataba hapo unamlinda vipi mpangaji kama mwenye nyumba unaichukua pesa yake yote bila kurudisha hata 100,ina maana wapangaji wako wote huwa wanafanya uharibifu wa nyumba unaofanana kila wakati?
Na je kwenye huo mkataba kuna kipengele kinachosema kwamba mwisho wa mkataba pesa ya deposit yote itachukuliwa na mwenye nyumba?
 
Nenda mahakamani si umejitungia sheria mwenyewe? Huyo mwamba anajua sheria atakuaibisha. Eti security deposit, umeiweka kwa mujibu wa sheria ya nchi gani. Ulimpatia notice ya miezi 3? Kujenga nyumba isiwe kibali cha kunyanyasa watu, muwe na utu hv vitu vyote ni vya kuacha hp duniani. Ongea vizuri na binadamu mwenzako uelewe tatizo lake
Yeah amezoea kuwanyonya wapangaji sasa amekutana na mpangaji anayezijua sheria.
Halafu angekuwa ni mtu wa kujiongeza alivyoenda serikali ya mtaa wakampotezea hiyo ni dalili mbaya kwake ilitakiwa ashtuke ila bado anataka kuendeleza ligi.
Mbeleni atakuja kuumbuka vibaya.
 
Hiyo biashara kafamyeni Dubai na China hapa bongo wanaume wameshtuka kuwa SPONSORS!!
Sasa unacholalamika nini? Kama kweli we ni mwanaume, na si mtoto wa kiume, hiyo ni kesi ya kuja kujibizana na watu mtandaoni?
Yaani hata akili ya kutatua hili huna!!! Kama single mother, umepania kukomoana nae, huoni na we huna tofauti na yeye? Ila bora yeye ametuwezesha kujua kumbe kuna watu hamnanmo.
 
Wewe shoga hiyo misumali unayopachika picha za waume zako haziharibu kuta? Watoto nao wanachora chora kuta huo sio uharibifu?
Kama Hukubariani na terms za mwenye nyumba si una Piga lapa unakwenda kwimgine kwanini usaini mkataba?
Nyie wasenge wasenge mnaosimamia mali za urithi mnasumbua sana,cku ukijenga yako utajua uchungu wa pesa matako we.
 
Deposit ilikuwa ya nini,kimsingi serikali imeshindwa kuwalinda wapangaji katika eneo hili na ndo maana mnaanzishaga vicharge uchwara ili mpige pesa,ngoja akunyooshe
Vijana mjifunze, hapana kucheza na mali za watu kwa kufanya ujanja ujanja madhara yake ni makubwa!!
 
Deposit ilikuwa ya nini,kimsingi serikali imeshindwa kuwalinda wapangaji katika eneo hili na ndo maana mnaanzishaga vicharge uchwara ili mpige pesa,ngoja akunyooshe
Vijana mjifunze, hapana kucheza na mali za watu kwa kufanya ujanja ujanja madhara yake ni makubwa!
 
Back
Top Bottom