- Thread starter
- #161
Hatuzungumzii chumba kimoja hapa wewe danga! Huyu mwanamke alipanga apartment!!Single mother,kafungia vitu chumbani. Ulijua mkeo eh?! Koma. Ilichokitafuta,umepata. Bora ungeenda kununua vijiweni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuzungumzii chumba kimoja hapa wewe danga! Huyu mwanamke alipanga apartment!!Single mother,kafungia vitu chumbani. Ulijua mkeo eh?! Koma. Ilichokitafuta,umepata. Bora ungeenda kununua vijiweni
Vitu vikubwa kama koki na masinki yakiharibika ntatengeneza ila rangi sifanyi huo usengerema kodi nilikuwa nalipa ya nn kama ni kuirudisha nyumba kama ilivyokuwaNyu
Hayo ndio mambo ya Kiswahili. Uungwana maana yake nini? Nyumba akisha toka mpangaji anayekuja anataka nyumba ipakwe rangi na masink ya jikoni na makabati yatengenezwe!! Sasa hizo gharama za matengenezo kwanini zibebwe na landlord wakati mpangaji ndiye aliyehusika?
Hapa mpangaji na mwenye nyumba wa naingia mkataba ambao unamlinda mwenye nyumba na mpangaji na ndio maana una hakikiwa kwa mwanasheria kuepuka mambo ya Kiswahili!!Deposit ilikuwa ya nini,kimsingi serikali imeshindwa kuwalinda wapangaji katika eneo hili na ndo maana mnaanzishaga vicharge uchwara ili mpige pesa,ngoja akunyooshe
Wewe shoga hiyo misumali unayopachika picha za waume zako haziharibu kuta? Watoto nao wanachora chora kuta huo sio uharibifu?Vitu vikubwa kama koki na masinki yakiharibika ntatengeneza ila rangi sifanyi huo usengerema kodi nilikuwa nalipa ya nn kama ni kuirudisha nyumba kama ilivyokuwa
Teh teh teh kwani aliepanga apartment hana uke!?Hatuzungumzii chumba kimoja hapa wewe danga! Huyu mwanamke alipanga apartment!!
Hiyo biashara kafamyeni Dubai na China hapa bongo wanaume wameshtuka kuwa SPONSORS!!Teh teh teh kwani aliepanga apartment hana uke!?
Fuata sheriaWana BODI naomba ushauri. Wapangaji wangu wote naingia nao mkataba wa miezi sita. Ambao ni renewable .
Katika mkataba kuna kipengele cha security deposit Sawa na kodi ya mwezi ambayo hutumika kutengeneza nyumba mkataba ukiisha.
Mpangaji wangu mmoja single mother mkataba wake ulikwisha mwezi January mwaka huu lakini amegoma kuhama akidai arudishiwe deposit yake ndio ahame kabla nyumba haijakaguliwa ; lakini amekwisha kaa hiyo nyumba mwaka mmoja na nusu na nyumba inahitajika matengenezo.
Amegoma kuondoka na sasa amefunga nyumba na kuacha vitu vyake ndani na kutoweka na funguo!
Ameisha kaa zaidi ya mwezi bila kulipa kodi na hata bill ya maji hajalipa! Nimekwenda serikali ya mtaa kutoa taarifa nao hawana msaada.
Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?
Haya mlipe pesa yake aende,kuwa mwenye nyumba sio sababu ya kujiamulia mambo utakavyo wewe kumbuka hapo unadili na watu wazima wenzako.Miezi mitatu!
Hayo yote unayosema yako kwenye mkataba uliotayalishwa na mwanasheria ili kumlinda mwenye nyumba na mpangaji!Haya mlipe pesa yake aende,kuwa mwenye nyumba sio sababu ya kujiamulia mambo utakavyo wewe kumbuka hapo unadili na watu wazima wenzako.
Wewe kama kweli lengo lako ni ukarabati wa nyumba ilitakiwa kwenye mkataba wako uandike hivi;
"Mpangaji atawajibika kukarabati endapo amefanya uharibifu" lakini sio kukusanya pesa ya mwezi mmoja.
Hivi tuchukulie kwa mfano kodi ya mwezi mmoja ni laki 2 halafu mpangaji akavunja kitasa,kutengeneza kitasa ni elfu 20 tu huoni kwamba hapa ulikuwa unawarubuni tu ili ule pesa zao
Pesa ambayo angenunua Bondi angekuwa safe zaidi na kuwa very healthyNdio mana siaminigi katika biashara ya upangishaji.
Yani unajenga nyumba yako kwa let say 20m unakuja pangisha kwa 200k kwa mwezi!
Aki ya nani ritani ya uwekezaji ni ndogo mno.
Kwenye huo mkataba hapo unamlinda vipi mpangaji kama mwenye nyumba unaichukua pesa yake yote bila kurudisha hata 100,ina maana wapangaji wako wote huwa wanafanya uharibifu wa nyumba unaofanana kila wakati?Hayo yote unayosema yako kwenye mkataba uliotayalishwa na mwanasheria ili kumlinda mwenye nyumba na mpangaji!
Tatizo Nadhani mpangaji hakuelewa mkataba na kutia saini tu kama wafanyavyo ma afisa wa Samia!!
Katika mambo ya mikataba your ignorance is no excuse!!
Yeah amezoea kuwanyonya wapangaji sasa amekutana na mpangaji anayezijua sheria.Nenda mahakamani si umejitungia sheria mwenyewe? Huyo mwamba anajua sheria atakuaibisha. Eti security deposit, umeiweka kwa mujibu wa sheria ya nchi gani. Ulimpatia notice ya miezi 3? Kujenga nyumba isiwe kibali cha kunyanyasa watu, muwe na utu hv vitu vyote ni vya kuacha hp duniani. Ongea vizuri na binadamu mwenzako uelewe tatizo lake
Sasa unacholalamika nini? Kama kweli we ni mwanaume, na si mtoto wa kiume, hiyo ni kesi ya kuja kujibizana na watu mtandaoni?Hiyo biashara kafamyeni Dubai na China hapa bongo wanaume wameshtuka kuwa SPONSORS!!
Nyie wasenge wasenge mnaosimamia mali za urithi mnasumbua sana,cku ukijenga yako utajua uchungu wa pesa matako we.Wewe shoga hiyo misumali unayopachika picha za waume zako haziharibu kuta? Watoto nao wanachora chora kuta huo sio uharibifu?
Kama Hukubariani na terms za mwenye nyumba si una Piga lapa unakwenda kwimgine kwanini usaini mkataba?
Ungejenga usingeshabilkia ushoga huu!Nyie wasenge wasenge mnaosimamia mali za urithi mnasumbua sana,cku ukijenga yako utajua uchungu wa pesa matako we.
Vijana mjifunze, hapana kucheza na mali za watu kwa kufanya ujanja ujanja madhara yake ni makubwa!!Deposit ilikuwa ya nini,kimsingi serikali imeshindwa kuwalinda wapangaji katika eneo hili na ndo maana mnaanzishaga vicharge uchwara ili mpige pesa,ngoja akunyooshe
Vijana mjifunze, hapana kucheza na mali za watu kwa kufanya ujanja ujanja madhara yake ni makubwa!Deposit ilikuwa ya nini,kimsingi serikali imeshindwa kuwalinda wapangaji katika eneo hili na ndo maana mnaanzishaga vicharge uchwara ili mpige pesa,ngoja akunyooshe