DOKEZO Mpangaji wangu kageuza Nyumba yangu kuwa kiwanda bubu cha kutengeneza vinywaji vikali feki kama Konyagi, K Vant nk

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kibaya zaidi inaweza kuwa anazalisha zaidi ya pombe fake. Vipi kama anazalisha silaha kemikali?JE jirani kakukpa sample, na kama kakupa je sample hiyo ni lazima iwe imetoka humo ?
Hili faili ripoti polisi wafuatilie.
 
Kama polisi wanahusika nao wewe shida yako ipo wapi? Vunga wewe mtafute mpangaji mwambie ishu ushaijua ila mwambie awe makini dili lisije kuwa dirisha
 
Watu bado awajui kutojiusisha na maisha yao majirani wa hivyo awafai as longer unakuja mpunga Hilo alikuhusu kikubwa kabla mkataba kuisha mwambie Kuna mabadiliko ya kimkataba dau linapanda akikubali aina shida akikataa basi ataludisha nyumba yako.

Alafu kiustaarabu unatakiwa umtaarifu mpangaji kuwa utakuja kutembelea nyumba yako na mara nyingi unakuja kujua kama Kuna shida yoyote au Kuna sehemu inaitaji repair na uwezi kuingia ndani ya nyumba unaishia nje yaani ndani ya fence bas labda akukaribishe Kisha utembee
 
Atafute mtu arushe drone juu kufanya surveillance huo ndani na kupiga picha kama ushahidi halafu atafute mwanasheria
 
Sasa hii Ina maana gani kutuambia na Kati vituo vya kuripot vipo
 
Hapo umesema kweli mkuu wabongo wengi hawajui sheria za mikataba wanhisi mali yake ni wakati wowote ,wewe huna haki yoyote mpaka mkataba wako wa miaka 2 umalizike ndio hapo utakuwa na haki.
 
Hio ni CRIME. Crime inaripotiwa polisi, sio kwa mjumbe wala serikali za mitaa.
 
Hio ni CRIME. Crime inaripotiwa polisi, sio kwa mjumbe wala serikali za mitaa.
Sawa,ila kwa maelezo yake polisi hao hao wanakujaga kudaka hapo πŸ˜„
Anyway kikubwa aripoti,hata kikinuka atajitetea mbona nlitoa taarifa

Ova
 

Wakati unampangisha mpangaji nyumba yako mliandikishana mkataba? Na mkataba wako una masharti yoyote juu ya nini mpangaji anaruhusiwa kufanya na kipi ambacho haruhusiwi?
 
Ni Boko mtaa gani na kata gani? Pia tunaomba vilevile picha ya jengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…