Mpango mauaji ya Wayne Derek Lotter ulivyosukwa na kutekelezwa jijini Dar

We nae lofa tu,kwani mauaji mengine hufuatiliagi kuona yeyote alohusika anadakwa hata muwe 100. Akili yako inaona mzungu tu,hata kesi ya bilionea msuya hukumbuki? Au nae alikua mzungu
Sasa ukimtaja bilionea msuya hauoni kilichokambeba hasa ni hadhi yake ya ubilionea?
 
Halafu utasikia kizee kimoja kichawi kilichovimbiwa uji wa damu za watu anakuja kubwatuka kuwa watu wazuri hawafi, wakati yenyewe na uzao wao wote ndio mabaradhuli.

Hili li nchi ni zaidi ya mafia organizations tunazoziona kwenye movies.
 
Taarifa za kiuchunguzi bado hazijamaliza kazi, hao watu 11 waliopata iyo hukumu ni kama watekelezaji wa mauaji ila je ni nani aliyefund hayo maujaji bado kitendawili.
 
1. Huo uchumguzi ulifanywa na polisi hapa hapa nchini au wakisaidiwa na kutoka nje?
2. Vipi kwenye ujangili kuna mkono wa kagame. Naona wahusika kuna akina habyaramana wengi
 
1. Huo uchumguzi ulifanywa na polisi hapa hapa nchini au wakisaidiwa na kutoka nje?
2. Vipi kwenye ujangili kuna mkono wa kagame. Naona wahusika kuna akina habyaramana wengi
Tatizo mnawachukulia poa Polisi
 
Kwa wasiomjua Machips
Ana asili moja na Kin*** Yule wa CCM aliyerudishwa tena kazini
Anaweza akawa amehusika pia
Asante kushare nasi kwa uchache hii kitu
 
Karama yupo wapi?na aliyefadhili malipo ya hizo hela ni kina nani
Mbona kuna jina umelitaja hapo mwisho wa sentesi yako nasikiaga eti huyo mzee naye wanamsema kuwa anahusika na biashara ya hizo kwato za kichwani za tembo?[emoji848]
 
Hao watu waliosome na kubobea kufanya uchunguzi hawawezi kutumiwa na majambazi ili kuondoa traces zote?
Kwa teknolojianya kibongo mi naona ni rahisi sana, na majambazi wengi tu wanaua na kudunda mtaani.
Kosa lao la kwanza ni kutumia simu.
 
Aaah wapi, kwamba walienda futa kwenye server za mitando yote zilizo nchini na zilizo nje ya nchi?
Ndiyo maana yake mpango wanausika wakubwa wengi ...ila kwa sasa wameanza kujuta baada ya kile walicho kitazamia baadhi yao kwa kufanikisha huo mpango kwenda tofauti maana walidhani nchi itakwenda vizuri zaidi ...ila mambo yamekuwa tofauti hata makampuni ya simu yame pigika kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…