Mpango mauaji ya Wayne Derek Lotter ulivyosukwa na kutekelezwa jijini Dar

Karama ndo alikuwa anajua nani alietoa hela za kumaliza mchezooo so asingebaki salamaa...!!
 
Na huyo makoi niyule alikua anauza duka la dawa pale mtaa wa majengo?
 
Ikibidi na huyo mmoja Akisha maliza kazi yake nae auwawe
Serikali hulinda hitmen wake kwa gharama yoyote.

Ni kwenye movie ndo twakutana na scenes ya He knows Too Much
 
Yaani ni hatari
 
Hapo muuaji ni mmoja au wawili Tu. Wengine wanashtakiwa kwa kusaidia mauaji kufanyika. Iweje wapewe adhabu ya kunyongwa? Hebu wasomi tusaidieni Sisi tulio mbumbumbu wa sheria.

Kwa sheria za Tanzania tuna Principal Offenders na Accessory after the fact
Principal Offender inajumuisha mtu aliye fanya kitendo cha kiharifu kama kwenye mauaji yule alitekeleza mauaji,alafu mtu aliesaidia mauaji hadi yakatendeka,mtu alieshawishi watu wengine kufanya kosai hawa wote wakikutwa na hatia adhabu yao ni moja.
.
Accessory after the fact huyu ni mtuhumiwa anaemsadia mtuhumiwa mwingine baada ya kutekeleza uhalifu,mfano mtu amefanya mauaji na umejua kuwa anatafutwa kwa kosa la mauaji ukampa hifadhi na kumficha unakuwa umetenda kosa na unakuwa Accessory after the fact ila ukitiwa hatiani adhabu yako sio sawa na alietenda kosa mwanzo.
 
Wewe haushi Tz? Au ni ndugu na kin**a?. Watanzania sio wale wa zamani,nani asiyejua huyo ni mbaya sana kitambo tu?. Ujangili wake ni siri kwako tu,japo unajua unajifanya hujui.
Japo sikumaanisha ujangili nilimaanisha uhusika wake kwenye mauaji,lakini hata huo ujangili unaofahamika nchi nzima kitambo tu,wewe unauthobitisha vipi!?..maana una uhakika
 
leonard Makoi je nae hakuwa anajuana "vizuri" na machips?
Huyu jamaa makoyi si alikuwa na duka la dawa karibu kabisa na stand kubwa Arusha, na alikuwa na magari Mazur tu kumbe nyuma yake kuna mambo alikuwa akifanya.
 
Kuna sehemu chain Imekatika sio ajabu Hawa wote kwenye death row hawamjui financier ambaye Ni MTU maarufu na mwenye pesa zake.
All in all, hata yeye siku si nyingi atakufa. Trust KARMA.
Kama alishakufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…