Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

Tuwaulize huko Ccm . Mnasemaje , anaufuata ?!
Sisi tunasema anafuata maana hata wenzetu wa upande wa pili wanafuraha sana. Hasa baada ya mbaya wao kufariki wana furaha mno.

Hele zimeajaa mifukoni, kodi ipo chini sana, vitu bei ya chini. Kifupi maisha ni mazuri bila shaka mama 2025 atapita bila kupingwa
 
Sasa ulihoji nini kwenye hoja yangu ya kwanza kama ni hivyo ?!.

Wekezeni kwenye fikra si kukurupuka
 
Hayo ndio matamanio yako na ya kila mwanaccm. Cdm imekufa lakini matumizi ya vyombo vya dola dhidi ya Cdm ili kuibeba ccm ndio yamezidi kushamiri!
ma imekufa jomba hata viongozi wa chadema wanajua hilo
 
Hayo ndio matamanio yako na ya kila mwanaccm. Cdm imekufa lakini matumizi ya vyombo vya dola dhidi ya Cdm ili kuibeba ccm ndio yamezidi kushamiri!
Yamezidi kushamiri vipi wakati adui yetu na mbaya wetu amekufa?

Sasa hivi tuko vizuri sana na utawala wa mama!
 
Magufuli ni SHETANI aliyekuwa kwenye mwili wa Binadamu. Mungu amefurusha kwa vile alikuwa anaharibu nchi yetu kwa kasi ya 5G
Ameharibu nini zaidi ya kuwatia adabu fisadi wezi wa mali ya umma na wakwepa kodi. Unachoona wewe ni jamaa zako kusweka lupango na kutemeshwa vya dhuluma. Huoni miradi ya ujenzi afya elimu etc itakayokua na faida kubwa kwa umma. Unaona tu singa na ruge kusweka ndani kwa uhuni ule wa iptl. Huoni matendo ya magaidi wa rufiji ila unaona kuangamizwa kwao tu.
 
Yamezidi kushamiri vipi wakati adui yetu na mbaya wetu amekufa?

Sasa hivi tuko vizuri sana na utawala wa mama!

Kwani huyu aliyepo ni rafiki yetu, au ana afadhali tu kuliko lile dubwasha lako?
 
Maneno ya Khanga Tu haya
Zee lenu Shetani lile litakuwa Motoni Kwa sasa

aliwaumiza kihisia mpaka kimwili.

yaani mpaka mmekuwa miungu wa kuchagua magufulia atakuwa wapi saa hizi.

pole kwa maumivu mkuu.
 
aliwaumiza kihisia mpaka kimwili.

yaani mpaka mmekuwa miungu wa kuchagua magufulia atakuwa wapi saa hizi.

pole kwa maumivu mkuu.
Yupo Kuzimu Kwa SASA, Simple as that
 
Wala nyerere humjui ndio maana unaropoka ovyo.
 
Mabeberu ndio hawa wanaotupa chanjo, mikopo ya Chanjo, Stigler na SGR?

Mabeberu ndio hawa waliotoa mikopo kujenga madarasa na vituo vya afya?



Unafurahia kila siku uwe mtu wa kupewa pewa tu???
 
Mwache Hayati apimzike.

Nyinyi ndio mnawachokoza walioumizwa na utawala mbaya wa kidikteta wa Hayati Magufuli wanaanza kimsema vibaya marehemu.

Sijui kwa nini watu wengine hamuwezagi kunyamaza kuficha ujinga wenu!
Kwani na wewe alikuumiza? Maana waliyoumia ni wale fisadi vyeti feki. Wale wala rushwa wauza madawa ya kulevya na wazembe..hao ndio wana sababu kumchukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…