Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

Magufuli ni SHETANI aliyekuwa kwenye mwili wa Binadamu. Mungu amefurusha kwa vile alikuwa anaharibu nchi yetu kwa kasi ya 5G
Kama ni shetani kwanini mnasema mimi na magufuli ni kitu kimoja kwanini msiseme waziwazi kuwa mnampinga magufuli ....sisi tunataka wanasiasa wote mnao mpinga magufuli muwe wazi kabisa tuone kama mtapata hata asilimia 10 ya kura
 
Leo na yeye angepelekwa mahakamani, angekula mvua 30.
 
Nikisikia mtu anamlinganisha Jiwe na Nyerere,napata kichefuchefu,nataka kutapika,Kitu limeongoza kwa miaka mitano,lakini,limeua,limebagua watu kikabila,limeharibu biashara za watu,
Kitu lilifikia kutoa hotuba kwenye vyombo vya umma kwa kutumia lugha ya kabila lake!!!!?kisukuma!!
Sasa hebu fikiria lingeongoza kwa miaka 10 ingekuwaje.
Without fear of contradiction,Jiwe alikuwa shetani,tatizo,kikwazo na bahati mbaya sana kwa nchi yetu,kwa muda aliokuwepo ameharibu nchi kabisa.
Nyie mnaomlinganisha na Nyerere,Nyerere alikuwa Mwalimu tu,lakini alikuwa na uwezo wa kuchambua mambo ya Dunia kwa ufasaha,alizimidu Lugha za kimataifa na kiswahili vzr.
Lile jiwe lenu,na PHD yake ya kimagumashi,hata kiswahili lilikuwa haliwezi kuongea vzr,Kizungu ndio kabisaa,
Wazungu mnawaita mabeberu lakini ndio wanaowaingizia pesa nyingi kupitia utalii.
Raisi wa Kenya,amealikwa Whitehouse US,jiwe angeweza kwenda kuongea na Raisi wa Dunia?!!yeye alikuwa anaweza kufokea mawaziri wake basi.
We are better off without that kind of personality
 



Ni wakati wake shujaa wako.

Wakati wake hata SABAYA alikuwa mzalendo.
 
Muacheni mzee apumzike, jadilini ya walio hai, hii ishapita na hairudi milele na milele!!
 
Mkuu,

Watu kutoka ndani ya CCM walioguswa masalahi yao ndio waliokuwa wakijitahidi kutaka kumchafua JPM kwa kupitia sauti ya chama cha upinzani hasa CDM na ACT-W lakini uhalisia wabaya wake wengi wamo ndani ya hicho chama kuanzia juu hadi chini ukijumuisha na baadhi ya wastaafu wamejimilikisha uamuzi na miongozo ya kitu gani kifanyike.
 
Wanasiasa watakaojitenga na Jiwe kwa kumsema vibaya lazima waangukie pua,wajaribu waone
2025 siyo mbali.

Hawa wa JF ni debe tupu,hawa ndiyo waliitisha maandamano yasiyokoma siku ya maandamano hata kivuri Chao hakikuonekana.
Walimdanganya Lissu aje agombee atashinda kwa zaidi ya 80&, Alichokipata anajuta ndo maana hataki hata kurudi pamoja na kuwa Mwendazake alitwaliwa.
 
Acha kutuzingua wewe.....sasa hivi tunaokota mahela tu huku mtaani...kila mtu ni tajiri bwana yule alikuwa anatufanya tuwe masikini!
 
Sabaya anasema uovu wote aliokuwa anafanya alitumwa na JPM.
Huyu bibi anamfunga Sabaya kuficha uovu waliokuwa wanamtuma
#FreeSabaya
 

Ni kuwa utakuwa umemsahau hata huyo mwenzenu?



Mambo yenu wala sisi msituhusishe 😁😁.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…