Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

Mabeberu ndio hawa wanaotupa chanjo, mikopo ya Chanjo, Stigler na SGR?

Mabeberu ndio hawa waliotoa mikopo kujenga madarasa na vituo vya afya?
Watanzania kama wewe akilizenu kama mavi ya matoto mchanga yasiyo nuka hivi una fikilia kupewa chanjo nihitaji letu sisi kama watz mkopo waleli hatuku hitaji nchihii nitajili sana wenye kujuwa haya niwachache kwahawa viongoz wasasa beberu alisha pola mpaka akili zao hawajuwi kama tz nitajili jpm atazidi kukumbukwa
 
Nchi za kibeberu na vibaraka wao wana tabia ya kuwazushia viongozi wanamapinduzi ubaya waonekane wabaya kama shetani.

Walipofanikiwa kumpindua Kwame Nkurumah wa Ghana walimzushia uongo mwingi hadi ikawa kisiasa ghana huwezi kufanikiwa kwa kuunga mkono siasa na sera za Nkrumah. Kutokana na propaganda za magharibi ikawa kama aibu mtu kuunga mkuno sera za ukombozi afrika na uchumi wa kijamaa. Waghana hadi leo hawampi nkurumah anayeheshimika Afrika nzima heshima anayostahili. Uwanja wa ndege wa kimataifa accra hadi leo unabeba jina la kotoko mtu aliyempindua Nkrumah.

Hata nchini guenea ni hivi karibuni tu kumeanza wimbi kuwaelimisha vijana na taifa Sekou Toure alikua kiongozi wa namna gani kwa waguenea na Afrika. Huyu naye alikua mwanamapinduzi ila ubeberu wamemchafua ili waguenea wasifuate mawazo yake.

Kwa nchi yetu ni tofauti kutokana na umoja na mwamko mzuri wa kisiasa wa wananchi. Licha ya kazi kubwa ya wapinga maendeleo wakiongozwa na ubeberu wameshindwa kumchafua Nyerere. Watanzania wanamkumbuka na kutaka dira yake ifuatwe. Hakuna mwanasiasa anaweza kufanikiwa tanzania kwa kumchafua Nyerere.

Tuliona baadhi ya viongozi wa Chadema wakitumika kuchafua jina na heshima ya nyerere hadi bungeni mmojawapo akiwa antipass lissu. Baada ya kuona wanajichafua kwa kujaribu kumchafua Nyerere wakageuza mbinu. Sasa wanajidai kumnukuu kila wakati nyerere ila kwa kupotosha kauli zake.

Magufuli amelinganishwa na nyerere kwa kutetea kwa nguvu maslahi ya umma kwenye uongozi wake. Tangu aitwe na mola wake tumeshuhudia furaha kwa wapinga maendeleo. Wamediriki hadi kumsifia mama kama mwokozi wa taifa dhidi ya uongozi uliyopita wa Magufuli. Juzi tu tumemsikia askofu mmoja akimtaka mama kutibu majeraha taifa.

Wanamapinduzi tunajua wenye majeraha ya magufuli ni fisadi na wazembe. Wale waliyojaribu kuiba mali au mashirika ya umma, wale waliyokua wamejimilikisha kinyemela mali za chama chao cha CCM, wale waliyokua wanashirikiana na barrick kuona madini ya nchi yanaibiwa makontena na makontena kwa kupewa ujira.

Sasa anatokea askofu eti mama ponya majeraha. Majeraha ya fisadi. Ina maana awarejeshe kwenye kudhulumu umma.
Tunamtahadharisha mama awe macho kukumbatiwa na watu waovu ambao wanategemea kuibia umma na kujitajirisha binafsi huku umma wa wananchi ukiendelea kufukarika.

Ni jambo la kutia moyo kuona jinsi wananchi wa tanzania wanavyomkumbuka magufuli. Ni hatari kwa kiongozi yeyote kutaka kufuata sera za kuwanufaisha wachache kwa gharama ya umma. Kimsingi CCM ni chama cha kulinda na kuendeleza maslahi ya umma. Wakifanya tofauti watapigwa chini.
Wanaomkumbuka ni akina nani? Tuache kumkumbuka Nyerere tumkumbe Dhalimu? Umerogwa au? Unaweza mkumbuka huyu? 👇

2952362_Q0f.jpg

2952061_JamiiForums569115795.jpg
 
Mwache Hayati apimzike.

Nyinyi ndio mnawachokoza walioumizwa na utawala mbaya wa kidikteta wa Hayati Magufuli wanaanza kimsema vibaya marehemu.

Sijui kwa nini watu wengine hamuwezagi kunyamaza kuficha ujinga wenu!
 
Watanzania kama wewe akilizenu kama mavi ya matoto mchanga yasiyo nuka hivi una fikilia kupewa chanjo nihitaji letu sisi kama watz mkopo waleli hatuku hitaji nchihii nitajili sana wenye kujuwa haya niwachache kwahawa viongoz wasasa beberu alisha pola mpaka akili zao hawajuwi kama tz nitajili jpm atazidi kukumbukwa

Nyerere alikuwa na ujumbe mahsusi kwako:

Mwalimu Nyerere aliipenda nchi siyo CCM
 
Rudi kwanza darasani ukajifunze kuandika vizuri kabla ya kuendelea na yowe zako za kipuuzi za mabeberu.
Watanzania kama wewe akilizenu kama mavi ya matoto mchanga yasiyo nuka hivi una fikilia kupewa chanjo nihitaji letu sisi kama watz mkopo waleli hatuku hitaji nchihii nitajili sana wenye kujuwa haya niwachache kwahawa viongoz wasasa beberu alisha pola mpaka akili zao hawajuwi kama tz nitajili jpm atazidi kukumbukwa
 
Rudi kwanza darasani ukajifunze kuandika vizuri kabla ya kuendelea na yowe zako za kipuuzi za mabeberu.
Huja erewa nini kasomeshe mkeo ajuwe namna yakuku andikia balua ya mahaba
 
Nchi za kibeberu na vibaraka wao wana tabia ya kuwazushia viongozi wanamapinduzi ubaya waonekane wabaya kama shetani.

Walipofanikiwa kumpindua Kwame Nkurumah wa Ghana walimzushia uongo mwingi hadi ikawa kisiasa ghana huwezi kufanikiwa kwa kuunga mkono siasa na sera za Nkrumah. Kutokana na propaganda za magharibi ikawa kama aibu mtu kuunga mkuno sera za ukombozi afrika na uchumi wa kijamaa. Waghana hadi leo hawampi nkurumah anayeheshimika Afrika nzima heshima anayostahili. Uwanja wa ndege wa kimataifa accra hadi leo unabeba jina la kotoko mtu aliyempindua Nkrumah.

Hata nchini guenea ni hivi karibuni tu kumeanza wimbi kuwaelimisha vijana na taifa Sekou Toure alikua kiongozi wa namna gani kwa waguenea na Afrika. Huyu naye alikua mwanamapinduzi ila ubeberu wamemchafua ili waguenea wasifuate mawazo yake.

Kwa nchi yetu ni tofauti kutokana na umoja na mwamko mzuri wa kisiasa wa wananchi. Licha ya kazi kubwa ya wapinga maendeleo wakiongozwa na ubeberu wameshindwa kumchafua Nyerere. Watanzania wanamkumbuka na kutaka dira yake ifuatwe. Hakuna mwanasiasa anaweza kufanikiwa tanzania kwa kumchafua Nyerere.

Tuliona baadhi ya viongozi wa Chadema wakitumika kuchafua jina na heshima ya nyerere hadi bungeni mmojawapo akiwa antipass lissu. Baada ya kuona wanajichafua kwa kujaribu kumchafua Nyerere wakageuza mbinu. Sasa wanajidai kumnukuu kila wakati nyerere ila kwa kupotosha kauli zake.

Magufuli amelinganishwa na nyerere kwa kutetea kwa nguvu maslahi ya umma kwenye uongozi wake. Tangu aitwe na mola wake tumeshuhudia furaha kwa wapinga maendeleo. Wamediriki hadi kumsifia mama kama mwokozi wa taifa dhidi ya uongozi uliyopita wa Magufuli. Juzi tu tumemsikia askofu mmoja akimtaka mama kutibu majeraha taifa.

Wanamapinduzi tunajua wenye majeraha ya magufuli ni fisadi na wazembe. Wale waliyojaribu kuiba mali au mashirika ya umma, wale waliyokua wamejimilikisha kinyemela mali za chama chao cha CCM, wale waliyokua wanashirikiana na barrick kuona madini ya nchi yanaibiwa makontena na makontena kwa kupewa ujira.

Sasa anatokea askofu eti mama ponya majeraha. Majeraha ya fisadi. Ina maana awarejeshe kwenye kudhulumu umma.
Tunamtahadharisha mama awe macho kukumbatiwa na watu waovu ambao wanategemea kuibia umma na kujitajirisha binafsi huku umma wa wananchi ukiendelea kufukarika.

Ni jambo la kutia moyo kuona jinsi wananchi wa tanzania wanavyomkumbuka magufuli. Ni hatari kwa kiongozi yeyote kutaka kufuata sera za kuwanufaisha wachache kwa gharama ya umma. Kimsingi CCM ni chama cha kulinda na kuendeleza maslahi ya umma. Wakifanya tofauti watapigwa chini.
Kama unampenda mtu alieoza ujue wewe una tatizo kichwani.

Magufuli hana nafasi tena ktk dunia ya walio hai,acha kuabudu mizimu!

Marehemu hana uwezo ata wa kugombea ukatibu kata,ukimuweka Magu agombee ukatibu kata na mbwa alie hai,mbwa atashinda.
 
Watanzania kama wewe akilizenu kama mavi ya matoto mchanga yasiyo nuka hivi una fikilia kupewa chanjo nihitaji letu sisi kama watz mkopo waleli hatuku hitaji nchihii nitajili sana wenye kujuwa haya niwachache kwahawa viongoz wasasa beberu alisha pola mpaka akili zao hawajuwi kama tz nitajili jpm atazidi kukumbukwa
Rudi shule Mkuu maana si kwa kuandika huko!
 
Uongozi mkuu ni kupeana VIJITI....

Leo mh.Rais SSH amewasimamisha dakika moja wanalongido kumkumbuka hayati JPM kwa kuwapelekea mradi mkubwa wa MAJI......

HASTA LA VICTORIA EL COMMANDANTE JPM ,aaamin🙏

SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA ,aaamin aaaamin aaaaamin aaaaamin🙏

#KAZI INAENDELEA KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Mabeberu ndio waliomuwekea Magofool betri kwenye moyo ili asife mapema.

Pia usimfananishe Kwame Nkurumah na huo uchafu wa Chato.
Uchafu ulipatika kwa dingi yako wakati wana kusaka wewe wakishilikiana na meme yako
 
Nchi za kibeberu na vibaraka wao wana tabia ya kuwazushia viongozi wanamapinduzi ubaya waonekane wabaya kama shetani.

Walipofanikiwa kumpindua Kwame Nkurumah wa Ghana walimzushia uongo mwingi hadi ikawa kisiasa ghana huwezi kufanikiwa kwa kuunga mkono siasa na sera za Nkrumah. Kutokana na propaganda za magharibi ikawa kama aibu mtu kuunga mkuno sera za ukombozi afrika na uchumi wa kijamaa. Waghana hadi leo hawampi nkurumah anayeheshimika Afrika nzima heshima anayostahili. Uwanja wa ndege wa kimataifa accra hadi leo unabeba jina la kotoko mtu aliyempindua Nkrumah.

Hata nchini guenea ni hivi karibuni tu kumeanza wimbi kuwaelimisha vijana na taifa Sekou Toure alikua kiongozi wa namna gani kwa waguenea na Afrika. Huyu naye alikua mwanamapinduzi ila ubeberu wamemchafua ili waguenea wasifuate mawazo yake.

Kwa nchi yetu ni tofauti kutokana na umoja na mwamko mzuri wa kisiasa wa wananchi. Licha ya kazi kubwa ya wapinga maendeleo wakiongozwa na ubeberu wameshindwa kumchafua Nyerere. Watanzania wanamkumbuka na kutaka dira yake ifuatwe. Hakuna mwanasiasa anaweza kufanikiwa tanzania kwa kumchafua Nyerere.

Tuliona baadhi ya viongozi wa Chadema wakitumika kuchafua jina na heshima ya nyerere hadi bungeni mmojawapo akiwa antipass lissu. Baada ya kuona wanajichafua kwa kujaribu kumchafua Nyerere wakageuza mbinu. Sasa wanajidai kumnukuu kila wakati nyerere ila kwa kupotosha kauli zake.

Magufuli amelinganishwa na nyerere kwa kutetea kwa nguvu maslahi ya umma kwenye uongozi wake. Tangu aitwe na mola wake tumeshuhudia furaha kwa wapinga maendeleo. Wamediriki hadi kumsifia mama kama mwokozi wa taifa dhidi ya uongozi uliyopita wa Magufuli. Juzi tu tumemsikia askofu mmoja akimtaka mama kutibu majeraha taifa.

Wanamapinduzi tunajua wenye majeraha ya magufuli ni fisadi na wazembe. Wale waliyojaribu kuiba mali au mashirika ya umma, wale waliyokua wamejimilikisha kinyemela mali za chama chao cha CCM, wale waliyokua wanashirikiana na barrick kuona madini ya nchi yanaibiwa makontena na makontena kwa kupewa ujira.

Sasa anatokea askofu eti mama ponya majeraha. Majeraha ya fisadi. Ina maana awarejeshe kwenye kudhulumu umma.
Tunamtahadharisha mama awe macho kukumbatiwa na watu waovu ambao wanategemea kuibia umma na kujitajirisha binafsi huku umma wa wananchi ukiendelea kufukarika.

Ni jambo la kutia moyo kuona jinsi wananchi wa tanzania wanavyomkumbuka magufuli. Ni hatari kwa kiongozi yeyote kutaka kufuata sera za kuwanufaisha wachache kwa gharama ya umma. Kimsingi CCM ni chama cha kulinda na kuendeleza maslahi ya umma. Wakifanya tofauti watapigwa chini.
Upo sawa lakin ant Magu watakuja kwa speed wakiwemo baadhi ya wannachadema na baadhi ya wanaccm waliokuwa wachumia matumbo, Hongera Sana , Aluta continue dhidi ya watu wanaohodhi Mali za wananchi
 
Back
Top Bottom