Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

Ha ha ha ha ha Sasa.... Huko Mataga na Sukuma Gang hawakuwafundisha kuweka paragrafu?
Kulikuwa na uzi humu wa kinachoitwa Jamii ChagaDema Forum ulifungiwa Jana...huyu alikuwa akiwatuhumu mamods wa humu kuwa ni wachaga na Chadema...binafsi sikuzipenda tuhuma hizo...lakini binafsi nashangaa kwanini huwa hawachukui hatua dhidi ya wale wanaoandika kinachoitwa Sukuma gang...kwa hakika huu ni ubaguzi na wanapanda mbegu ya chuki kwenye Jamii yetu...
 
Kwa nini Sukuma GANG mnalazimisha nchi ipasuke hii. Magufuli aliwadanganya kama mnajiona mna umuhimu sana kwenye hili Taifa, nyinyi ni majambazi tu mliokuwa mnatumwa na Magufuli kufanya unyang’anyi , kutesa na Kuua watanzania. Tabia za Kirundi au nyie ni Warundi mliojificha kwenye Usukuma ili kuuwa watanzania.
 

Kumlinganisha Nyerere na Magufuli, ni sawa na kulinganisha mlima Everest na tuta la viazi. Labda humfahamu Nyerere. Tafuta CV yake uisome.

Magufuli na Nyerere wanafanana kwenye mambo mawili tu - wote ni binadamu, na wote wamefariki, japo hisia ya vifo vyao kwa umma zilikuwa tofauti sana. Wakati Mwalimu, kifo chake kilileta simanzi kwa kila mtu, kifo cha Magufuli, kwa baadhi kiiwapa unafuu. Waliobambikiwa kesi za uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na madawa ya kulevua, waliweza kuachiwa. Waliokuwa na hofu ya kutekwa, kuuawa au kupotezwa, wana uhakika wa usalama wao kwa kiasi kikubwa, wasiojulikana hawasikiki sana kama wakati wa utawala wa Magufuli. Wafanyabiashara walioamua kuhama Tanzania kutokana na kunyamg'anywa pesa zao halali na Magufuli, wameanza kurudi na kufanya uwekezaji.

Ukiwatazama hawa wawili:

Mmoja ni tunda la Roho Mtakatifa maana ndani yake kulikuwa na Roho wa Mungu.

Mmoja alikuwa wakala wa shetani. Ndani yake iliishi Roho ya uharibifu, roho ya shetani ambayo kazi kubwa ilikiwa ni kuwatesa, kuwaua, kuwapoteza na kuwahadaa Watanzania kwa namna ya ajabu, sawa na alivyo ibilisi ambaye ni mfalme wa hila na uwongo.
 
Umefafanua vema sana,mimi sijaelewa lengo la wao kutaka kumwinua Magufuli dhidi ya Nyerere.

What are they trying to achieve?

Vyovyote vile hawatafanikiwa maana historia ya Nyerere iko vizuri sana kwenye vitabu na duniani.
 
Nyerere alikua mtanzania.
Magufuli alikua mrundi aliejificha kwenye Usukuma. Hawafanani hata walazimishe vipi.
 
Nafikili yule gaidi an juwa wapi alipo ben 8 Azry yule nimsanii kwa maana yale maigizo waliyo kuwa nayo
Hau jaerewa nini
Huja erewa nini kasomeshe mkeo ajuwe namna yakuku andikia balua ya mahaba
Naona Sukuma GANG imetuletea Warundi humu kutetea maiti yao. Sukuma GANG mtaaibika sana, Magufuli ni mrundi aliejificha kwenye Usukuma.
 
guenea [emoji29] kuishi Tanzania yataka moyo
 
Kama ni shetani kwanini mnasema mimi na magufuli ni kitu kimoja kwanini msiseme waziwazi kuwa mnampinga magufuli ....sisi tunataka wanasiasa wote mnao mpinga magufuli muwe wazi kabisa tuone kama mtapata hata asilimia 10 ya kura
Acha ujinga wewe, unadhani waTz wote wanapenda upuuzi wa huyo mpuuzi wako? Uchaguzi wa 2020 ungekuwa fair hilo jamaa lako lisingetoboa hata 50% ya kura zote, kifupi Lissu alichukua zaidi 40%, 2025 mother anachukua kiulaini and hapo utakuwa mwisho wenu washamba wakubwa
 
Magufuli siyo tu hakustahili kuongoza taifa, wizara or taasisi nyingine yeyote, hakustahili hata kuongoza familia yake!
Mbwa mwitu wewe jpm myaka 20 wizara ya ujenzi bila tuhuma yoyote leo kibudu fulanitu una leta uzwazwa hapa uta umbuka bule kenge.
 
Mbwa mwitu wewe jpm myaka 20 wizara ya ujenzi bila tuhuma yoyote leo kibudu fulanitu una leta uzwazwa hapa uta umbuka bule kenge.
Kivuko cha Dar - Bagamoyo kaiba hela , mabilion. Nyumba za Serikali kagawa kwa familia yake na vimada wake.
Shujaa nchi hii ni Nyerere na Sokoine tu.
Magufuli ni mwizi na Muuaji.
Magufuli ni mrundi aliejificha kwenye Usukuma.
 
Mbwa mwitu wewe jpm myaka 20 wizara ya ujenzi bila tuhuma yoyote leo kibudu fulanitu una leta uzwazwa hapa uta umbuka bule kenge.
Pambafu, hiyo wizara ilikuwa inaendeshwa kwa propaganda na uongo uongo, alikuwa ni jizi mkubwa kwenye hiyo wizara, akaweka watu wake wa karibu kila sehemu ili uchafu wake usitoke nje! Magufuli=Sabaya (Tofauti yao mmoja alikuwa na madaraka makubwa), washamba wakubwa
 
Kivuko cha Dar - Bagamoyo kaiba hela , mabilion. Nyumba za Serikali kagawa kwa familia yake na vimada wake.
Shujaa nchi hii ni Nyerere na Sokoine tu.
Magufuli ni mwizi na Muuaji.
Magufuli ni mrundi aliejificha kwenye Usukuma.
And alipoona watu wanahoji kuhusu kivuko akakikabidhi jeshini and akapiga mkwara mali za jeshi hazihojiwi, alikuwa ni laghai na tapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…