Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

Laiti mngempenda kwa dhati kama mnavyojatibu kutuhadaa mngemshauri asiishi kama demon, hence hofu yenu sasa kuwa kuna wanaom-demonise. Kwanini hamjawahi kujiuliza kuwa Nyerere alipofariki takriban kila Mtanzania alilia kwa uchungu ilhali kifo cha Magufuli kilipokelewa kwa shangwe na watu wengi tu?

Hakuna anayem-demonise Mwendazake bali he lived as a demon. Badala ya ninyi wanafiki kuendelea kutumia nguvu kubwa kumsafisha ingekuwa vema mkajikita kwenye sala/dua ili asifanywe kuni za kuchochea moto wa wenye dhambi huko ahera.
 
Kuelimika ni pamoja na kufanya mambo madogo kwa usahihi mkuu
 
Makini sana
 

Nyerere huyu huyu?

Mwalimu Nyerere aliipenda nchi siyo CCM
 
erewa=elewa
balua= barua

Tafadhali kuwa makini wakati wa kuandika. Ukifanya makosa ya wazi namna hii, watu watajenga hoja kuwa hata unachowasilisha hapa jukwaani kimekosa weledi
Hawa vilaza wengine huwa tunabishana nao basi tu humu JF, ila watu kama hawa marehemu ndiyo aliwapenda "kweri kweri"
 
Wasukuma kubalini tu, Magufuli ameshaumaliza mwendo na maisha lazima yasonge mbele....

Kwanini mnajitesa hivi?
Huyo Zama zake zishapita, habari zake zimebaki kuwa hadithi au simulizi. Alidhani kuwa atadumu mbona amewafuata hao alio watanguliza.
 
Nani anapenda Marehemu wewe, tena marehemu mwenywe ni jiwe halafu alikuwaga kichaa kichaa hivi
 
Magufuli ni SHETANI aliyekuwa kwenye mwili wa Binadamu. Mungu amefurusha kwa vile alikuwa anaharibu nchi yetu kwa kasi ya 5G
Magufuli ni jembe, chuma, shujaa, mwanamwema wa Afrika. Uzuri tunajua nini alichowafanya ninyi wala rushwa, wazembe, wezi ,mafisadi, vyeti feki, watumbuliwaji. Aliwanyoosha mpaka maji mliita mma
 
Magufuli ni jembe, chuma, shujaa, mwanamwema wa Afrika. Uzuri tunajua nini alichowafanya ninyi wala rushwa, wazembe, wezi ,mafisadi, vyeti feki, watumbuliwaji. Aliwanyoosha mpaka maji mliita mma
Na Makampuni take ya ujenzi ndio akayapa tenda masikini mnashangilia
 
Legacy ya magufuli haitafuta. Historia itamtaja daima. Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake
 
Reactions: nao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…